Star tv leo mmetoa somo kwa TBC 1

Star tv leo mmetoa somo kwa TBC 1

tangu hizo tv station zijiunge kuhujumu uchaguzi mkuu siziangalii.na hapo utakuta wamejiunga na lile kanisa la Mapengo.

endelea kuangalia vile vituo vyenye ma CEO ambao wamevaa ngozi ya kondoo kumbe wao ni chui wabaya sana kwa taifa hili.walikua bize kuripot machafuko na ubaya tu wa serikal ili wawin manunuz ya state house akat muasisi alishawaambia pale hapanunuliki...

wakawafukuza hadi wafanyakazi wao kisa kuripot kinyume cha matakwa ya boss....
mapenz upofu ila gizan yanaona
 
Nimependezwa sana na kitendo cha star tv kuacha kurusha kipindi cha magazetini Leo na badala yake kurusha live maombi na sherehe za x-mass kanisani ambapo mh. Rais wetu JPM alikuwa akisali misa ya kwanza ya sikukuu, baada ya ubunifu huo TBC 1 nao wakaanza kurusha live kupitia star tv, kwa hiyo nawapongeza star tv na TBC1 kwa kutupa breaking news kama itv

Mleta mada unautindiwa wa ubongo
 
Kwa hiyo magufuli kwenda kusali imekuwa breaking news?

Kwa sababu walikuwa wanaonyesha vipindi vingine then ghafla wakakatisha matangazo na kuanza kurusha matangazo ya kanisani live, kwa hiyo mimi nikaona ni kama breaking news
 
Hii sasa upuuzi yani Rais akiwa anasali basi matangazo yanasitishwa wanamuweka RAIS live....mh basi Rais hatakosa misa kwa dizain hii...
 
Hii sasa upuuzi yani Rais akiwa anasali basi matangazo yanasitishwa wanamuweka RAIS live....mh basi Rais hatakosa misa kwa dizain hii...

Nadhani ni kwa sababu ya sikukuu ya x-mass
 
endelea kuangalia vile vituo vyenye ma CEO ambao wamevaa ngozi ya kondoo kumbe wao ni chui wabaya sana kwa taifa hili.walikua bize kuripot machafuko na ubaya tu wa serikal ili wawin manunuz ya state house akat muasisi alishawaambia pale hapanunuliki...

wakawafukuza hadi wafanyakazi wao kisa kuripot kinyume cha matakwa ya boss....
mapenz upofu ila gizan yanaona

Aisee kwa hili linathibitisha motive behind.kiongozi leta na ile habari ya kupendelewa kwa dialo kwenye utawala huu.
 
Aisee kwa hili linathibitisha motive behind.kiongozi leta na ile habari ya kupendelewa kwa dialo kwenye utawala huu.

Hii ni habari mpya kabisa inatakiwa kuwa na Uzi wake kabisa
 
tangu hizo tv station zijiunge kuhujumu uchaguzi mkuu siziangalii.na hapo utakuta wamejiunga na lile kanisa la Mapengo.

Tena siku hizi hasa star tv ndo imepoza mno maana hawan mijadala kama siku za nyuma ambapo walikuwa waki waalika wageni toka vyama vyote vya siasa na maada ina kuwa moto ila sasa wanaona aibu kuwaita wapinzani hasa kwa yale walio wafanyia kwenye uchaguzi
 
Back
Top Bottom