Recent content by zulushaka

  1. zulushaka

    JamiiForums Tanzania Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

    Alikuwa muisrael na dini muislam ni kwa mujibu wa quran
  2. zulushaka

    JamiiForums Tanzania Masanja wale watu aliwapiga wakaanguka au ni maombi?

    Acha ubishi wewee, Kipo chuo cha huo usanii TANGA, iko hv Mnapewa mafunzo ya style ya kujfanya kilema, mkishaiva mnapewa fungu na kuelekezwa mkoa ambao muhusika atakuja kupiga shoo, mnatangulia huko na kutafuta gest za bei rahis huku mkisubir cku ya tukio. Kabla ya tukio hutolewa matangazo...
  3. zulushaka

    JamiiForums Tanzania Masanja wale watu aliwapiga wakaanguka au ni maombi?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uko vzur
  4. zulushaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi iko sawa mwanaume kumtumia mume mwenzio 'emoji' za love?

    Yawezekana wewe ndiye tatizo, maani haiwezekani kila ukija huku dar watu wakupende, jichunguze, labda umekaa kimdebwedo, c unajua huku pwani mamno yao
  5. zulushaka

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Duu Huu uzi haujaisha tuu??
  6. zulushaka

    JamiiForums Tanzania Somalia Taifa Lisilotakiwa Kuwa Na Amani Na Mataifa Makubwa

    Hahahaa waswahili husema, "ukitaka kumwua mbwa mpe jina baya" Kuna meng nyuma ya pazia, lkn mpk sasa cjamwona mwenye kuonyesha kuelewa hilo, Kila kianzichwasho na wazungu waafrica tunakifuata bila kutafakari kwa undani kwa kuwa tumekariri wao hawakosri na waba akili zaidi yetu. Amkeni...
  7. zulushaka

    JamiiForums Tanzania Somalia Taifa Lisilotakiwa Kuwa Na Amani Na Mataifa Makubwa

    Zama ambazo karibuni nusu ya bara la ulaya lote wameshaingia ktk uislam
  8. zulushaka

    JamiiForums Tanzania Somalia Taifa Lisilotakiwa Kuwa Na Amani Na Mataifa Makubwa

    Shetani yupi huyo kaka?
  9. zulushaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

    Ila hakuna sababu ya kujisumbua na makondom ikiwa tayari una mke, huko nje unaenda kutafuta majanga bure
  10. zulushaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

    Niliwahi kuwaza kutokuoa kutolana na mikasa ya dizine hii, hasa kupigiwa, lkn hainajinsi ni lazima nioe nipate mrithi wa mali zangu
  11. zulushaka

    JamiiForums Tanzania Mjue Baba Vanga na maajabu ya ajabu

    Duu, hii kali
  12. zulushaka

    JamiiForums Tanzania Muuaji aliyeaminiwa na mzazi wa aliyeuawa

    Be back
  13. zulushaka

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Imani

    Aahhh, hii kali, c ungeongeza nyingine!?
  14. zulushaka

    JamiiForums Tanzania Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

    Napata funzo kuwa kumbe ipo cku nasi tutakuja kuzeeka km huyu jamaa mwerevu
  15. zulushaka

    JamiiForums Tanzania Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

    Hivi hizi nyumba huwa wanaingia kwa ku croal au kwa kusota? mwerevu
Back
Top Bottom