Somalia Taifa Lisilotakiwa Kuwa Na Amani Na Mataifa Makubwa

Mafuta sio dili tena Mkuu; wanapaswa kujua hilo. Mwaka 2030 (13 yrs ahead) Paris na miji mingine mikubwa Ufaransa wanaondoa magari yote ya mafuta barabarani na 2040 yanaondolewa Ufaransa yote. Plan ni hiyo hiyo kwa mataifa mengine ya Ulaya, Uchina na kwingineko.

Hata Uganda wanapaswa kuchangamka na mafuta yao kupitia Tanga maana miaka michache ijayo yatapigwa marufuku duniani kote kama "kitu hatari" kwa usalama wa mazingira, viumbe, na dunia kwa ujumla.
Zama ambazo karibuni nusu ya bara la ulaya lote wameshaingia ktk uislam
 
Hakuna mchawi wa amani Somalia na sehemu zote zenye uhusiano na itikadi kama hizo zaidi ya mifumo ya mfundisho ya kipumbavu ya kishetani yanayochochoea chuki, ubaguzi, fitina, ukatili na wivu dhidi ya binadamu wengine na hasa wenye kuonyesha mafanikio na utulivuu.

"Hapana amani kwa wabaya!"

Isaiah 57: 20 - 21.

"20. Bali wabaya wanafanana na bahari iliyochafuka; maana haiwezi kutulia, na maji yake hutoa tope na takataka."

"21 Hapana amani kwa wabaya; asema Mungu wangu."
Hahahaa waswahili husema, "ukitaka kumwua mbwa mpe jina baya"

Kuna meng nyuma ya pazia, lkn mpk sasa cjamwona mwenye kuonyesha kuelewa hilo,

Kila kianzichwasho na wazungu waafrica tunakifuata bila kutafakari kwa undani kwa kuwa tumekariri wao hawakosri na waba akili zaidi yetu.

Amkeni, amkeni.

Mkumbuke waliotukalilidha kuwa binadamu wa kwanza ni nyani ni hao hao nasi leo ukietewa mtihani ukajibu kinye na nyani unafeli!!??

Ikumbukwe %90 ya walimwengu walitekwa akili na kuaminishwa kuwa iraq inatengeneza siraha za nyuklia, baada ya hapo klia mmoja akaichukia iraq na kuiona nchi ya kigaid,

End of the day marekani baada ya kupoteza uhai wa raia wasio na hatia na kuchukua vya kuchukua wakaja na kusema kuwa wanaomba ladhi kwa walicho fanya maana wamegundua hakukua na hizo siraha!!

Je mmesahau tukio la sept 11??

Wahusika ni wenyewe lln dunia iliaminishwa kuwa ni OSAMA BIN LADEN!!

Leo wameombuka kila kitu kipo wazi mtandaoni!!?

Kuweni makini na propaganda ndugu zanguni?
 
Baada ya kutokea mauaji makubwa huko Mogadishu kwa Bomu la kujitoa mhanga ambapo zaidi ya watu 300 wamepoteza maisha, hiyo imeonyesha kuwa nchi hiyo ipo mbali sana kuwa na amani. Kikundi cha kigaidi cha Alshaabab mpaka sasa hakijakiri kuwa kimehusika na shambulizi hili. Kitu cha kushangaza sana hiki kikundi cha Alshaabab kwa zaidi ya miaka 10 kimeendesha vita dhidi ya serikali kwa udhamini wa nani na kwa maslahi gani na kwanini kifanye mauaji makubwa kiasi hicho ambayo ni kinyume na mafundisho ya dini ya kiislam.
Ethiopia ni mojawapo ya nchi ambayo haitaki kuona Somalia likisimama kama taifa kwasababu mwaka1977 Ethiopia na Somalia walipigana vikali kugombea jimbo la Ogaden ambalo wakazi wake wengi ni watu wenye asili ya kisomali na jimbo hilo mpaka leo lipo chini ya nchi ya Ethiopia. Serikali ya Ethiopia inaamini kuwa kuwepo kwa taifa la Somalia kunauwezekano wasomali wakaanzisha vita vya kudai jimbo hilo, jeshi la Ethiopia ilishavamia nchi ya Somalia mara kadha toka mwaka 1991,
Kenya ina majeshi kusini mwa Somalia kwa muda wa miaka 6 na kuna tatizo la mpaka baina ya Somalia na Kenya, kuna dalili ya mafuta mengi kuwepo kwenye mpaka wa Somalia na Kenya upande wa Somalia, serikali ya Kenya kwa kutumia udhaifu wa kutokuwepo kwa serikali kuu ya Somalia imejaribu kubadilisha ramani ya huo mpaka ili ile sehemu kubwa yenye mafuta upande wa Somalia uhamishiwe upande wa Kenya lakini serikali ya Somalia imepeleka kesi kuhusu suala hilo mahakama ya kimataifa, moja ya sababu ya kinara wa chama cha upinzani NASA Raila Odinga kupingwa na mataifa za magharibi katika uchaguzi mkuu wa Kenya ni alipotoa kauli kuwa pindi akishinda urais wa Kenya ataondoa majeshi ya Kenya huko Somalia, mpaka sasa uvamizi huo umesababisha askari wengi wa Jeshi la Kenya kupoteza maisha huko Somalia.
Uturuki na Uganda ndio nchi pekee zinazotaka kusaidia serikali ya Somalia iwe imara, Serikali ya Uturuki imejenga kituo kikubwa cha chuo cha kijeshi Mogadishu ili Jeshi la Somalia lipate mafunzo mazuri chuo hicho kimegharimu serikali ya Uturuki dola milioni 50 na kuna wanajeshi zaid ya 300 kutoka Uturuki kama walimu, serikali ya Uturuki imetoa misaada mikubwa sana kwa nchi ya Somalia katika ujenzi wa taifa hilo kwa kujenga mashule na hospitali. Jeshi la Uganda limefanya kazi kubwa kuwadhibiti hawa Alshaabab na Jeshi hilo lipo Somalia kuleta amani.
Marekani ilivamia Somalia mwaka 1992 na baada ya vita vya wa wasomali dhidi ya wamarekani mwaka 1993 (Blackhawk Down) ambapo zaidi ya wamarekani 20 waliuawa serikali ya Marekani iliondoa Jeshi lake. Toka Rais Donald Trump aingie madarakani Marekani imerudisha majeshi yake Somalia na kwasasa wamefungua kituo kikubwa cha kijeshi pale uwanja wa ndege Mogadishu na kuna mpango wa Marekani wa Kujenga kituo kikubwa cha kijeshi nje ya Mogadishu ambayo zaidi ya Askari laki moja watawekwa standby kwa vita mashariki ya Kati.
Somalia Ina utajiri mkubwa wa aina tofauti za madini,mafuta na Gesi na hapa unaona picha kamili maslahi za nchi hizi kwa Somalia. Alshaabab ni kikundi ukiangalia wanatumiwa kwa kupitia Ideology ya Dini ya Kiislam lakini hawapo kwa maslahi ya dini ni maslahi kuona Somalia haipati amani. Ni mengi ya kujiuliza nani ama nchi gani inayofadhili kikundi hiki cha kigaidi na kwa manufaa gani.

Japo kuna kaukweli kidogo kwa uliyo andika ila Somalia wanajimaliza wenyewe kwa wenyewe na matabaka yao ya kijinga ndiyo chanzo ya haya yanayotokea hivi sasa kule. Silaha za Al Shabab wanazipata kupitia uharamia wanaoufanya kuteka meli za watu pamoja na uuzaji mirungi. Somalia hakuna kabila Zaidi ya wasomali wenyewe, dini yao ni moj ya kiislam, lugha yao ni moja ya kisomali ila matabaka na koo za kijinga kama ilivyokuwa nchi za kiaarab hapo zamani ndiyo chanzo cha matatizo ya Somalia kwani kila koo/tabaka linataka kutawala jimbo fulani na kukontroo mali ya hilo jimbo.
 
Ila waislam dini yao pia inawalet down yani wakishapandikizwa kitu kichwani hawafikirii imagine unachinja watu, unajilipua unateketeza had ndugu zako kisa fighting for Islam real? Wenye akili zao kamwe hawaacha kutumia izo fursa za ujinga wao mbona Angola wana mafuta na hawachinjani kama hawa

Ni kwa sababu wengi wao hawako educated na wapenzi wa kukariri uwongo, si unaona hata hapa Tanzania.....utakuta wakati mwingine mkereketwa wa kiislam anaongea kitu cha kipuuzi kabisa na wala hana uelewa wa hiko kitu, ukimfundisha ama kumrekebisha anatishia kujiua au kutaka kukuchoma kisu. Mtu kitu hajuwi lakini yuko radhi abishe ili tu asikike kuwa anajuwa kubisha.
 
Somalia kinachopiganiwa ni kwamba USA hawataki kusikia kwenye hii dunia kuna nchi Hakuna kanisa hiyo ndo sababu wanataka ukafiri uwepo kila sehemu so Somalia Hakuna hiyo kitu ndo sababu ya kupigwa
Una akili ndogo sana!! Na mtu kama wewe unaweza ukajivisha bomu kutenda yaliotokea Somalia
 
Somalia wanafuata yaliyoanzishwa na nani? Acheni upumbvu wa kuwasingizia wazungu hata katika ushetani wenu!

Hahahaa waswahili husema, "ukitaka kumwua mbwa mpe jina baya"

Kuna meng nyuma ya pazia, lkn mpk sasa cjamwona mwenye kuonyesha kuelewa hilo,

Kila kianzichwasho na wazungu waafrica tunakifuata bila kutafakari kwa undani kwa kuwa tumekariri wao hawakosri na waba akili zaidi yetu.

Amkeni, amkeni.

Mkumbuke waliotukalilidha kuwa binadamu wa kwanza ni nyani ni hao hao nasi leo ukietewa mtihani ukajibu kinye na nyani unafeli!!??

Ikumbukwe %90 ya walimwengu walitekwa akili na kuaminishwa kuwa iraq inatengeneza siraha za nyuklia, baada ya hapo klia mmoja akaichukia iraq na kuiona nchi ya kigaid,

End of the day marekani baada ya kupoteza uhai wa raia wasio na hatia na kuchukua vya kuchukua wakaja na kusema kuwa wanaomba ladhi kwa walicho fanya maana wamegundua hakukua na hizo siraha!!

Je mmesahau tukio la sept 11??

Wahusika ni wenyewe lln dunia iliaminishwa kuwa ni OSAMA BIN LADEN!!

Leo wameombuka kila kitu kipo wazi mtandaoni!!?

Kuweni makini na propaganda ndugu zanguni?
 
Somalia wanafuata yaliyoanzishwa na nani? Acheni upumbvu wa kuwasingizia wazungu hata katika ushetani wenu!
Shetani ni mtu kama wewe usiojua historia ya dunia hii
 
Somalia kinachopiganiwa ni kwamba USA hawataki kusikia kwenye hii dunia kuna nchi Hakuna kanisa hiyo ndo sababu wanataka ukafiri uwepo kila sehemu so Somalia Hakuna hiyo kitu ndo sababu ya kupigwa
Kwa hiyo kanisani wanaswali makafiri? Unajua maana ya kafir? Basi Poa! Maana nchi za makafiri zimestaarabika na zinajitambua! Hakuna vita za kipumbavu kama za huko kwa wale wa dini ya haki!
 
Kama uliwahi kuishi na Wasomali unaweza kushangaa ni kwa vipi mpaka sasa bado taifa lao lipo hai.
 
Kwa hiyo kanisani wanaswali makafiri? Unajua maana ya kafir? Basi Poa! Maana nchi za makafiri zimestaarabika na zinajitambua! Hakuna vita za kipumbavu kama za huko kwa wale wa dini ya haki!
Msamehe huyo mtoa mada hajui maana ya Ukiristo na Ukafiri naona kama ana akili za kialshaabab.
 
Kama ni kweli kikulacho ki nguoni mwako, wasomalia wameyatengeneza wenyewe matatizo yanayowasibu.

Tusijifiche kwenye kivuli cha mataifa mengine. Wanauana kama kuku wa mdondo. Wanategemea nini?
Congo kwa muda wa miaka 50 kuna vita, Somalia kwa muda wa miaka 27 kuna vita, Afghanistan kwa muda wa miaka 40 kuna vita. Je unafikiria raia wa nchi hizo wanapenda kuteseka bila mkono wa mabeberu kuwepo?
 
Wote dini ileile; wote kabila lile lile; wote rangi ileile; wote kizazi kile kile; tatizo nini? Kuna mafundisho ya kipumbavu waliyoingiziwa vfuani mwao wakidhani ni ibada kumbe wanamtumikia Shetani.

Eti dini ile ile! Walioharibu amani na kusababisha umwagaji damu Iraq na Afghanistan kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi ambapo mpaka leo kwa zaidi ya miaka zaidi ya 15 hatujui kama walimaliza huo ugaidi ni dini gani?
 
Ila waislam dini yao pia inawalet down yani wakishapandikizwa kitu kichwani hawafikirii imagine unachinja watu, unajilipua unateketeza had ndugu zako kisa fighting for Islam real? Wenye akili zao kamwe hawaacha kutumia izo fursa za ujinga wao mbona Angola wana mafuta na hawachinjani kama hawa
.
CONGO VIPI NI NCHI YA KIISLAM?
 
Ila waislam dini yao pia inawalet down yani wakishapandikizwa kitu kichwani hawafikirii imagine unachinja watu, unajilipua unateketeza had ndugu zako kisa fighting for Islam real? Wenye akili zao kamwe hawaacha kutumia izo fursa za ujinga wao mbona Angola wana mafuta na hawachinjani kama hawa

Hao jamaa wa west wakiongozwa na USA ndio wasababishi wa hizo vita. Miaka kama saba iliopita tuliona walivoanzisha vita ya kumuondoa Gaddafi madarakani kwa kizingizio cha kuleta demokrasia. Damu imemwagika Libya, Amani haijakuwapo tena Libya tangia Ghadaffi aondolewe madarakani.

Je nakuuliza hizo gharama walizotumia Marekani na nchi za Ulaya ambao ni wakristo kama wewe kuanzisha vita wakidai kuleta demokrasia na ambayo kwa miaka saba hawajafanikiwa kuileta licha ya kumwaga damu chungu nzima ya waislamu wenzetu libya Wakiwemo watoto,Je ni waislamu ndio tuligharamia au?

Tumeona njaa inavyoua watu Ethiopia,Somalia na Sudan kwa nini kama wao ni watu wazuri wasitoe hela kama hizo kumaliza njaa?

Bomu moja dogo la kudondoshwa na ndege ni zaidi ya milioni mia mbili za kitanzania achilia mbali mafuta mengi yanayotumikaga kurusha ndege angani tia ndani gharama za kuleta manowari na aircraft carrier na ammunition zilizotumiwa na Hizo meli za kivita. Pesa hizi zote chungu nzima kwa nini zisingetumika kuondoa njaa katika nchi nilizozitaja?
 
Shida ni huyu Baba anaitwa UN
Akiwatumia USA kwa kazi zake za kishetani
Na ndugu zake UK,germany,france etc
But mwisho inabidi waislam wajiulize imani yako na uimara wa vijana wao kuweza kujizuia kununuliwa na kutengeneza haya Makundi ya alshaba al qaeda isis sababu mi naamini haya yametengenezwa na hawa Wazungu kwa kuwadangnya hawa vijana wadhaifu wa kiislamu mpk wakaweza kuwapika kiimani(kiuongo) mpk wakijilipua.
Nina rafiki Islams ambao hawawezi thubutu kujilipua na wako poa na waelewa but kuna dhaifu ndio hao wanaonunuliwa na kudangnyika.kirahisi na kufanya Mambo ya kishetani.
Wakiweza kusema NO kwa hawa wazungu then hakutakuwa na haya mambo....But wametafuta weak.link wakaipata
 
Eti dini ile ile! Walioharibu amani na kusababisha umwagaji damu Iraq na Afghanistan kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi ambapo mpaka leo kwa zaidi ya miaka zaidi ya 15 hatujui kama walimaliza huo ugaidi ni dini gani?
Mkikubali kuvurugwa na "adui" huku akiwaacha mkichinjana kama wanyama pori wasio na akili mtakuwa wapumbavu wa kiwango cha mwisho. Wangekuwa na akili wakaungana dhidi ya adui ningewaona wa maana kinyume chake ni majinga tu kila siku kulipuana yenyewe kwa yenyewe huku kisingizio kikiwa western halafu wanakimbilia huko huko kujihifadhi. Majinga kweli kweli.
 
Back
Top Bottom