Recent content by ZUKUDE

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    Natamani sana kuifanya hii biashara ya mitumba, kwa wazoefu ni changamoto zipi naweza kumbana nazo pindi nifanyapo hi biashara na nini ushauli wako. Nipo sumbawanga mjini
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi

    nipo mkoa wa rukwa mkuu
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi

    Salamu kwenu wanaJF, Kwa mtu mwenye mapenzi mema na ushauri namba yangu 0768538324. Binafsi nimemaliza chuo kikuu mwaka jana Bachelor of science in Mathematics. Nimejaribu kuaplay kazi mbambali bila mafanikio hata kwenye shule binafsi kwa ajili ya kufundisha somo la hesabu kwani...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Kambi Rasmi ya Upinzani wasusia Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini na kutoka nje ya Bunge

    Imekuwa kawaina na jambo lililo zoweleka kabisha kwa kambi lasmi ya upinzani kususia vikao vya bunge au kutoka nje ya bunge kwa kigezo cha kutoridhika na jambo flani. Hii inatusaidia nini sisi wananchi, je nikutokomaa kisiasa.? Ni utoto wakuto jua nini unakifanya.? Au nikutaka kujionyesha kwa...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Kuimarika kwa CCM ni mwiba kwa Upinzani

    kwa mwendo huu wa kinana ivi chadema mwakani tutapona kweli
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Niliwekewa chura kwenye papuchi il niache kukojoa

    chura alikugegeda si vinginevyo
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Jamani ndugu zangu wa Sumbawanga Rukwa,tusalimiane!

    zya manda zilikwi
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada jamamani wana MMU

    Amani kwenu wana jf, Naombeni msana wa ushauri, nina mpenzi wangu tumekua katika uhusiano kwa muda mrefu sasa, tunapendana na tunaaminiana pasipo na shaka ya aina yoyote hadi kufikia uamzi wa kuja kuishi pamoja kwa siku zijazo, lakini mpenzi wangu huyo yaani mke wangu mtarajiwa ananizid...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Siri gani mwanamke hawezi kusema mpaka kaburini?

    muulize vizur atakwambia tu
Back
Top Bottom