Recent content by zuberi kimweri

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Tamko la Zitto Kabwe kuhusu madeni anayodaiwa, mshahara na mali alizonazo

    Good sana kiongozi
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Bodaboda kukata leseni ya biashara.

    Bado kodi ya watembea kwa miguu angalau hata sh 15000 kwa mwaka ili kuiongezea mapato serikali yetu tukufu.tufike tunapo pataka.
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Bodaboda kukata leseni ya biashara.

    Wanacho sema boda boda serikari ikae na wenye piki piki sio kuwasumbua wao wao ni vibarua tu.
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Aliyempigisha ‘deki’ Mwalimu aigomea CWT

    Siombi mabaya lkn ipo siku wataumbuka watakutana na vichwa maji kwani kiuajiriwa serikalini ndiyo kuwa na masisha mazuri wasijaribu huu moto wamemuonea sana mwalimu lkn one day yes.
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Bodaboda kukata leseni ya biashara.

    Bodaboda wilayani Muheza wanalalamikia kitendo cha kuambiwa wakate leseni za kubeba abiria hali inayo wafanya wengi wao wakitaka kurudisha pikipiki kwa wamiliki.Wachache wa bodaboda hao wamesema kwasiku unaweza usipate abiria hata mmoja na tunashinda juani halafu unadaiwa hesabu ya bosi halafu...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania SENGEREMA: Afisa TAKUKURU amlamba mwalimu makofi

    Isitikee kwangu patachimbika
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la karafuu.

    Kwa yeyote anaefahamu au kuhitaji karafuu nina mzigo wa kutosha naomba tuwasiliane hata kwa ushauri kupitia no 0716038818 naomba tumia sms.
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa mauaji ya Mwanza, Tanga wauawa Dar

    Mmm labda
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Hongera Azam kwa kuwarahisishia wakazi wa Kigamboni maisha(Azam mwendokasi)

    Watamfungia wataona hawafanyi kazi
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini manesi mnawakata vibaya vitovu watoto vinatokeza?

    Ukianza kutathimini kitu anza na mazuri mtoa mada umekurupuka hujui unacho kiongea
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Liyumba akamatwa na madawa ya kulevya yenye thaman ya Bil 9 Tsh

    Wasio nacho ndiyo tunaumbuka lkn hakimu wa haki ni mungu tu kiteleweka
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Tanga ni jipu

    Labda
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Mashirika yanayolipana Mishahara Minono kwa mwezi

    Hatari hakuna usawa kabisa sasa hapo si zaidi ya watumishi wengine 16 wa mshahara wa laki tatu
Back
Top Bottom