Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,594
Sitaandika kumtetea tena mwalimu ... Wajitetee wenyewe!
Nasikia darasa mojawapo ndio lilikuwa chafu, mengine yalikuwa masafi na ndio yaliyokuwa yanatumika, kwahiyo huenda lile chafu lilikuwa halitumiki, kitu ambacho ni kawaida sana kwa shule zetu za pembezon, mana huko vumbi huwa halikwepeki plus shida ya maji n.k.Hii ngumu kuitetea...mwalimu alikuwa anafundisha darasa chafu...mkurungezi kakuta mwl anafundishia darasa chafu...kwa mazoea yetu mkurungezi angemwita pembeni-.amnong'onezee mwl 'darasa ni chafu'...mwl hakuona darasa chafu?
Sina utetezi wa uchafu..sorry for that
Nyie ndio mlikuwa mna tukwamisha kipindi hicho.......i mean mlikuwa wakabaji sasa kwanini kipindi hichi usile HASARA?????Hakuna mwaka tumekula hasara kama awamu hii
nimepata taarifa kuwa raisi kampigia simu kumpongeza, baada ya kumpigia simu kaomba aongee na mtu wa jirani ili kudhiirisha ni yeye mtukufuUsikute ametumwa na mkulu kama alivyofanya G. wa Arusha kwa Lema.
haswaaaTatizo ni kwamba mkulu anataka viongozi wa aina hiyo kwenye utawala wake vinginevyo huyo angetumbuliwa kwa udhalilishaji. Awamu hii ni ya hovyo sana.
Mhh jamani mbona mnawanyanyasa walimu? Kilio chao nani anakisikiliza?
Pole ziwaendee walimu wote
Wewe nawe akili ni kijiko. Huyo mkurugenzi alifika shuleni hapo mida ya jioni that means darasa lilikuwa limetumika, utategemeaje darasa lililotumika kuanzia asubuhi liwe safi? Ingekuwa asubuhi labda; na hata ingekuwa ni muda gani huyo mkurugenzi hakupaswa kufanya jambo la kijuha kama hiloJAMANI WAALIMU WENGINE NI WACHAFU WANASHINDWA KUSIMAMIA WANAFUNZI KUFANYA USAFI..MIMI NAMPA PONGEZI HUYO MKURUGENZI
Na wao ndio huenda kwenye mwengeHawa waalimu uchagua CCM, ni muda wa kujitambua sasa.
Inauma sana n kitendo cha unyanyasaji sana bila mwalimu yy angekuwa japo mi sio mwalimu ila walimu wananyanyaswa sana duhKishaona dalili ya kutumbuliwa huyoooo,anajifanya naye mungu mtu.Daaaahhh hua naskiaga vibaya mno kuona mwalimu akionewa au kudhalilishwa,tunajisahau sana wakati hao ndo walez na wasimamiz wa taaluma zetu