Recent content by zorrender

  1. Z

    Tundu Lissu unasubiri nini Kujiuzulu? Umetudhalilisha

    Mleta mada kumbe bado hujapona vidonda vya kupitwa darasani na Lissu. Pole kwa sababu uwepo wa nyie vilaza ndio unaosababisha TL kuonekana mahiri wa sheria.
  2. Z

    Mhubiri afa maji baada ya kujaribu kutembea juu ya maji kama Yesu

    Aisee hivi alikuwa akiwahubiria karib na mto!!! Au alifanya kuwachukua toka kanisani ili akawaonyeshe mazingaombwe???!!!!
  3. Z

    Ni miaka 25 sasa sijawahi kuingia kwenye uhusiano

    Aisee atakuwa kaanza vibaya. Si ajab ana kibamia nahisi ndani ya wiki atakuwa ashaanza kulalamika humu wanawake di waaminifu.
  4. Z

    Hivi kwanini inakuwa hivi?

    Punguzeni kuangalia tamthilia ndio zinawaharib.....mnasahau kuwa wenzenu wanasoma script pale!!!!
  5. Z

    Hivi kwanini inakuwa hivi?

    Kwa hiyo hapo hajamuumiza??!! Ye mwenyewe kwenye thread anakiri amemuumiza. Si bora angempa tam yake afanye kuja kuumia badae??? Unafikiri huyo dada anajiskiaje sa hv baada ya kukataliwa???
  6. Z

    Hivi kwanini inakuwa hivi?

    Ningeonaje unamchezea??? Kwani mngeniita nishuhudie???
  7. Z

    Naombeni ushauri wanajamvi

    Acha uongo umesema ww ni mvulana, ushauri wangu tafuta mwanamke wa saiz yako huyo humuwez ukicheza stress zitakuua ukiwa bado mvulana
  8. Z

    Hivi kwanini inakuwa hivi?

    Kuna watu wanaudhi sana. Mtoto wa watu kajitahidi kuonyesha hisia akajifanya haelewi, akaamua basi isiwe tabu akasema kabisa mtu anakwambia nkaona ntamuumiza nkamkatalia!!!! Hivi kweli unathubutu kutuelezea wanaume wenzio kabisa kwamba umemkatalia binti!!!!!! Hiki kizazi cha tamthilia hiki!!!!!????
  9. Z

    Nafasi ya Tanzania kiulinzi

    Huu ni utani tu...haihitaji hata kwenda shule kujua this is just a joke.. Hv mwanao anakuletea mitihani yote kapata F alafu kawa wa kwanza utajiskiaje???!!!! Hebu jiulize inshu za madawa ya kulevya tu???!!!!
  10. Z

    Zitto aweka pingamizi Mahakamani kuzuia Kikao cha Kamati Kuu kujadili rufaa yake kesho

    Kumbe mtu ukipanda baiskeli na bajaji kwa ccm ndio unaitwa mchapakazi??!!!
  11. Z

    Zitto: Nipo tayari kupokea maamuzi ya kikao cha Kamati Kuu kesho (Jan 3, 2014)

    Hebu tafakari kwa makini hivi hapa mtego ni upi??? Kumuacha au kumfukuza??? Hebu jiulize mambo yote ambayo yashasemwa juu yake wakimuacha itakuwa na maana gani??? Kama cdm walimfukuza uongozi kwa kuwa walijiridhisha pasi na chembe ya mashaka kuwa ni msaliti ni kwann wawe na huruma na kiongozi...
  12. Z

    Zitto: Nipo tayari kupokea maamuzi ya kikao cha Kamati Kuu kesho (Jan 3, 2014)

    Natamani sana kamati imfukuze kabisa ZZK. Kwa upande wangu ni heri kabisa kuiona CDM ikifa kwa kumfukuza (ambalo haliwez kutokea) kuliko kuiona ikimkumbatia mnafiki kwa kuogopa consequences. Hapa Cdm ilipofikia uamuzi sahihi ni 1 tu; Zzk aondoke.
  13. Z

    Baada ya miezi kadhaa ya machungu ya talaka

    Huna haja ya kwenda mbio kumpata mwingine nafikiri kuna haja ya kutulia kidogo kucheki upepo unakwendaje. Huku pia si salama sana
  14. Z

    MMU team bachelors Vs team wasio kua bachelors.

    Ni ushauri mzuri ila napata mashaka kuna wale waliooa lakini practically hakuna ndoa humo ndani, kuna wale wa ndoa ndoano, kuna wale masharo waliolewa na majimama yenye hela....... Kimtizamo naona kama kuna zaidi ya tim 2 hapa!!!!!
  15. Z

    Ethiopian Airline Boeing 767 yatua Arusha kwa dharura

    Jamani hv kwani ndege haina reverse gear. Si achekeche tu hapo kama madereva wa daladaka mbona inatoka fasta?????
Back
Top Bottom