Recent content by Zongh

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Una miaka zaidi ya 50 halafu unaenda kununua kiwanja kwa Milioni 500. Pesa yako itarudi lini?

    Hongera kwa wazazi walo,na ww pia una wajibu wa kuwa mfano kwa kikazi chako utakachoanzisha
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Una miaka zaidi ya 50 halafu unaenda kununua kiwanja kwa Milioni 500. Pesa yako itarudi lini?

    Hongera sana maana wewe mwenyewe umekuwa mfano kwa kizazi chako kijacho,na wao ni vyema ukawafundisha kuendeleza maana yawezekana baada yako wakaja kuzitapanya na nguvu ikapotea bure
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Kijana Mwenzangu, jitahidi saana uje kuwa sehemu ya historia ya watu waliowahi kulifanya mema taifa hili zuri la Tanzania.

    Kweli nimeamini wewe una akili ndogo sana kama unayojiita
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Hatujafanya chochote anataka nimtolee posa

    Yuko sahihi,angalia kama uko tayari umuoe,la sivyo unaweza kuongeza idadi ya single mother mtaani
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Una miaka zaidi ya 50 halafu unaenda kununua kiwanja kwa Milioni 500. Pesa yako itarudi lini?

    Hongera kwa hilo,endelea kufanya hivyo kwa ajili ya kizazi chako ili kuwa motivate na wengine wafate muongozo huo
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Una miaka zaidi ya 50 halafu unaenda kununua kiwanja kwa Milioni 500. Pesa yako itarudi lini?

    Kama mmefanya hivyo,hongereni kwa kuwa mfano wa kuigwa kwenye jamii na familia zingine waige
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Una miaka zaidi ya 50 halafu unaenda kununua kiwanja kwa Milioni 500. Pesa yako itarudi lini?

    Uko sahihi kabisa, Lakini familia za kibongo nyingi hawarithishwi,umetolea mfano bakhresa na MO,kumbuka hizo ni familia za kiarabu sio hizi za kibongo bongo,ingawa saivi pia Kuna baadhi ya wabongo wameanza kufata mtindo huo. Kiujumla alichouliza mtoaada ni sahihi, Lakini kila mtu itabidi awe...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Una miaka zaidi ya 50 halafu unaenda kununua kiwanja kwa Milioni 500. Pesa yako itarudi lini?

    Wewe ndio una akili ndogo, Acha kuropoka hovyo, Nimekuiliza babu zako walishafanya au wewe ushafanya ili kuandalia vizazi vyako?? Badala yake upo jukwaani hapa unashambulia watu wanauoliza vitu vya maana . Itabidi wewe uanze kuwa wa mfano kwenu na kizazi chenu kabla ya kuropoka na kubeza watu...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Una miaka zaidi ya 50 halafu unaenda kununua kiwanja kwa Milioni 500. Pesa yako itarudi lini?

    Kama umefanya homgera sana,inapendeza wewe ukiwa wa mfano kwanza kwenye ukoo wenu kabla ya kunyooshea vidole wengine
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Una miaka zaidi ya 50 halafu unaenda kununua kiwanja kwa Milioni 500. Pesa yako itarudi lini?

    Nyie kwenu babu zako waliwaachia generational wealth au wao pia walikuwa na mawazo ya kibinafsi? Je wewe ambaye huna akili ndogo umefanya lipi?
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Una miaka zaidi ya 50 halafu unaenda kununua kiwanja kwa Milioni 500. Pesa yako itarudi lini?

    Hongera kwa hilo, Je na wewe umeandaa urithi wa vizazi vyako vijavyo au una mawazo tuu ila hujatekeleza ? Maana wanasema charity begins at home,hata kama unasema huna akili za hovyo kama hizo,ila kama hujaweka hayo mazingira ya vizazi vijavyo ina maanisha na wewe ni walewale,hivyo huna haja ya...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Una miaka zaidi ya 50 halafu unaenda kununua kiwanja kwa Milioni 500. Pesa yako itarudi lini?

    Je wewe umejirekebisha wapi au umefanya yapi? au na wewe unasubiri kizazi chako kife kikiwa maskini?
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Una miaka zaidi ya 50 halafu unaenda kununua kiwanja kwa Milioni 500. Pesa yako itarudi lini?

    Wewe ambae huna wazo dumavu,umefanya kipi kwa ajili ya vizazi vijavyo?
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Una miaka zaidi ya 50 halafu unaenda kununua kiwanja kwa Milioni 500. Pesa yako itarudi lini?

    Nyie kwenu mmepanda hio miti au hizo mali,au na nyie ni wabinasfi?
Back
Top Bottom