Recent content by Zomby

  1. Zomby

    JamiiForums Tanzania Ester Bulaya akamatwa na Polisi jijini Mwanza

    Ana kesi ya kujibu na king wassira...bt ameachiwa ready
  2. Zomby

    JamiiForums Tanzania Mugabe awabwatukia wazungu

    Jamaa haogopagi..
  3. Zomby

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Meya wa Jiji la DSM kufanyika 23.01.2016

    Hizo kalamu kujibia mtihani inaruhusiwa?
  4. Zomby

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege afariki Dunia

    Doooh watu wanakufa....
  5. Zomby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ni zaidi ya mkosi, wanaume nimewanyooshea mikono juu!

    hilo nalo neeeno
  6. Zomby

    JamiiForums Tanzania Huyu ndie Padre aliyeuawa Zanzibar

    pruv????
  7. Zomby

    JamiiForums Tanzania Simba sc vs libolo!

    Hahaah libolo liboloo liboloo twissssssssst.......!
  8. Zomby

    JamiiForums Tanzania Huyu dada ni hatari ona anavyoitazama pesa kwa hamu...kweli njaa mbaya

    Hahahhhha alafu nimezihesabu ni elfu kumi tatu tu............yaani ni elfu thelathini tu.......!kweli nouma.
  9. Zomby

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunachonganishwa, mchonganishi tunamjua lakini tunachonganika!

    Ndio kaka bethlm.....unachoongea ni sahihi kabisaa......ila mi kitu ambacho ninachojiuliza na sipati jibu......muda mwingine hata hawa viongozi wetu wa dini nao wanatumika kuwatumikia mabwana zao wa serikali.......ccoz unaweza ukaona mtu anahubiri uchohezi kabisa tena live na maspika lakini...
  10. Zomby

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunachonganishwa, mchonganishi tunamjua lakini tunachonganika!

    Aaah ila kaka unahisi ni nani anaonewa hapo?? Coz kila mtu ukimuuliza anadai kwamba anatafuta haki yake aliyokuwa ameipoteza.....sasa kila mtu kapoteza haki.....au ndo haki zote zimehifadhiwa nna serukali???
  11. Zomby

    JamiiForums Tanzania Utapeli katika kuomba kazi 'data entry'

    Daaah kwahiyo km hauna hela???daaah nchi hii inaenda wapi cjui........!
  12. Zomby

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Ebaaaana wazeiya. Kwani tokeo liko web ipi mbona mi clioni???
  13. Zomby

    JamiiForums Tanzania Clouds FM (Power Breakfast): Ni sahihi kabisa Bunge lisionyeshwe LIVE!

    Hahahahah sasa ufanyie editting ili iweje??kwani imekuwa movie ile???nidhamu za uwoga hazihitajiki mzeiyaaa
  14. Zomby

    JamiiForums Tanzania Maaskofu kuipelekeka serikali mahakamani kuhusu kuchinja nyama

    Daaaah na huko mahakamani kwenye hiyo kesi jaji anatakiwa awe nani??muislamu au mkristo??? Maana conclusion ya hapo pia lazima itafaidisha pande moja na kuiumiza pande nyingine..........!
  15. Zomby

    JamiiForums Tanzania Redio Imaan Mnatuangusha aisee! Eti mnasema nini? Hebu toeni hoja yenu sasa...

    Dat y wwtu wengine hawana dini..........wanaamua wajichagulie miungu yao...wengine miti..wengine ng'ombe coz nwdays dini zimekuwa pafyuuum
Back
Top Bottom