Kaenda makamu wakeHivi raisi wetu Magufuli hajaenda Adis!
Mimi (Mugabe) nitaendelea kuwepo mpaka pale Mungu ataponiita kujiunga na malaika wengine mbinguni...
Mugabe bhana.."until God says come to join the other angels"
Hii point ya NGOs ina mantiki kubwa sana .. Serikali zetu ziwe macho... So kila NGO inajileta tu na mambo yake... Kwenye paper za registration wanaonesha malengo A, kwenye real practice wanafanya B.
Kuna lecturer mmoja pale Udsm amekulia US anazichukia NGOs na huziita 'Nothing Going On'... Nlijiuliza sana kwanini... Kugundua NGOs zinechangia sana kubadilisha sociocultural structure ya hii nchi... probably sisi wa hapa hapa tunafumbia macho NGOs, ila ni muda... tuamke.
Africans uniteHotuba ya Mugabe ni nzuri kwa upande mmoja, upande wa pili ni sisi wa Afrika kubaguana na kuchukiana mno kisiasa! Kunyimana haki wenyewe kwa wenyewe hata pale inapoonekana dhahiri! Tukiachwa wenyewe hatutakuwa salama hata kidogo! Haki za binadamu zitakiukwa kusiko mfano! Wanyonge watanyanyasika mara kumi zaidi na vyama dola vitayateka mataifa mengi!
Wa Afrika tunahitaji usimamizi kuliko ilivyo hivi sasa! Tukiachwa wenyewe kwa wenyewe hatutakuwa mahala salama! Hatujaweza bado kujiongoza wenyewe! Hivyo kwa hakika hatutaweza kuongoza wengine!
Mugabe ndiyo Simba wa afrika, aliyozungumza ni ukweli MTU, ingawa wapigania haki kama vile Bob Marley alishazungumza sana, kuhusu wakina Obama, aliwaita kwa jina la TOP RANKIN ambao wanatumia kimvuli cha demokrasia Kuua viongozi with R.I.P Gadaffi. Hawa mababylon wanapenda kutuona waafrika tukiwa kwenye hali gumu, tukiuana wenyewe kwa wenyewe. Big up Mugabe, ukweli Mugabe anapotoa hutuba yake wazungu wanachukia sana na kutoka nje ya ukumbi, sababu anazungumza ukweli na ukweli unauma.
HajaendaHivi raisi wetu Magufuli hajaenda Adis!
Wacha dharau zakitoto kutafuta sifamagufuli amemiss hotuba nzuri kama hii..wakati marais wote wa africa wako huko...kuna tatizo mahali...lugha aliyotu,mia mugabe ni nyepesi angeielewa tu.!