Recent content by zodiac

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Balozi wa china: Sijavunja mkataba wa vienna

    Anasema wanaomlaumu wanamkatisha tamaa kutusaidia kuondokana na umasikini!! Hii ndio kazi ya Balozi wandugu? Hata kama sisi ni masikini kwa hiyo hao wawekezaji wanatusaidia sisi? Kwenye nini? Ajira? Junior staffs? Daily contract workers? Kuna vitu ukiviangalia kwenye nchi hii unaona kabisa...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya wachaga zimefikia pabaya sana. Wenye husda, wapi mmedhulumiwa?

    Watu wanashindwa kufahamu kuwa kama ni mikoa kuendelea ni kweli wamejitahidi kuendelea na source inafahamika ukiacha utendaji wao wa kazi na kukusanya kipato lakini kuna sababu za kihistoria na kijiografia hata hivyo hawa jamaa ni wanaukabila uliokithiri tusikae kujidanganya kuwa wachaga wamejaa...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya wachaga zimefikia pabaya sana. Wenye husda, wapi mmedhulumiwa?

    Ukiangalia avatar yako ndiyo inadhihirisha upumbavu wako! Kazi kusifia makabila mengine wewe unayowaza ni upuuzi tu, kusoma sio kigezo, wao wanabebana huo ndiyo ukweli, na hiyo tunayoita kubebana ndiyo UKABILA wenyewe walionao. Kwenye ukweli tuwe tunasema kama hujafanya kazi na hawa watu...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya wachaga zimefikia pabaya sana. Wenye husda, wapi mmedhulumiwa?

    Sikutarajia kukutana na MHEHE wa hovyo namna hii, yani unajisifia ujinga wako? Halafu hapo kwenye blue, MAHITA sio mchaga ficha upuva wako mnyalukolo, unaongea kama umekunywa ugimbi? wenzenu wanabebana nyie wahehe kazi yenu kujifanya ndimgaya sida, kazi kukaa na kusema IDOL IDOL, Kwenda huko...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Kujenga Nyumba Kiwanja cha Mwanamke!!!!! Ni busara kweli?

    Umeongea vizuri halafu mwisho umeharibu mtumwa wa wazungu mkubwa we!!! Kweli mkataa kwao mtumwa. Mxxxxxxxxxiiiiiiiiiiuuiuuuuuuuu!
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Tabia za akina dada zinazonikera!!

    Hahahaha mkuu umeua balaa. Hapa ofisini kuna demu ni mshkaji ndio zake mabangili nimemuonyesha comment yako ofisi nzima kicheko.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Tabia za akina dada zinazonikera!!

    Usiombe akutane na wewe maeneo hayo utakoma kumfahamu lazima akupige sindano na unakuta anakunywa sijui cocktail inaitwa 'Colorado moth...f...c.k..r'. Mara sijui kaagiza popcorn utakoma.
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Tabia za akina dada zinazonikera!!

    Na kuweka macheck in status
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Tabia za akina dada zinazonikera!!

    Heri yako wewe pamoja na matusi wanayotupatia huyaoni.
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Tabia za akina dada zinazonikera!!

    Hehehe! Imekutachi nini? Na bado wengi wapo humu.
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Tabia za akina dada zinazonikera!!

    Ukiona mwanamke anang'ang'ania kuhongwa eti ni haki yake huyo hana tofauti na wale wa kona bar sema yeye kijiwe chake cha uchangu ni tofauti labda ofisini kwake au Savannah au quality plaza maana mwanamke mwenye staha hawezi kumpenda mtu sababu ya pesa pesa huja baadae sana hata kama anaiona ila...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Tabia za akina dada zinazonikera!!

    Hata nikishuka haisaidii. Wenzenu wanapiga invoice tactically sio kibwegebwege na carolite zenu macho unayajaza nyusi za kope kama kisebengo, miguu ina vigimbi kama mruka vihunzi. Invoice sio ishu Tatizo unalikuta demu bayaaaa ila linajifanya eti classic, kwenda zako na uclassic wako...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Tabia za akina dada zinazonikera!!

    Ha ha ha ha! Chezea kitu cheusi mangala inatafuta rangi ya mtume. Vidole na Magoti vinaota sugu kama mchambua labyrinth.
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Tabia za akina dada zinazonikera!!

    Hahahahaha!!! Halafu anakuja na kipochi kakibana kwapani then akienda toilet anakupatia umshikie kimelowa jasho, yuck!!!!
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Kujenga Nyumba Kiwanja cha Mwanamke!!!!! Ni busara kweli?

    Mh kwa hawa wanawake wa Kilewo? Aandike maumivu, nina kesi mbili zenye material facts kama hii, ninahangaika nazo mahakamani ila jamaa bora akae kimya maana siku mke akimuamulia ndio atajuta. Kwanza haileti heshima ukweni unakuwa kama umeolewa.
Back
Top Bottom