Recent content by ZNdoto

  1. Z

    Mikopo kwa diploma maalumu UDOM

    Kiukweli watu wamesubiri mpaka inaboa sio siri Kama hakuna si watuambie hakuna tujue chakufanya mapema
  2. Z

    Vyeti vya form 4

    Jaman naomba kuuliza vyeti vya form 4 2013 vimekwisha toka?
  3. Z

    Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

    Jamani ambae anajua ualimu wa awali ni ngazi ipi anisaidie
  4. Z

    Kuomba uhamisho Kidato cha Tano

    Naomba msaada wa jinsi ya kuomba uhamisho . Shule niliyo chaguliwa iko mbali
  5. Z

    Jaman deadline ya TCU lini nijuze plz

    Kwa wale ambao mmesha apply TCU naombeni mniambie deadline na je wanataka kuambatanisha result slip ya f6?
  6. Z

    Msaada result slip f6

    Anaejua result slip za f6 zinatoka lini au kama zimeshaanza kutolewa baadh ya shule nijulishe. plz
  7. Z

    Ni kweli chuo mwezi wa kwanza

    Mbona mada ipo wazi, labda wewe ndo uliefeli. Au ulitaka akwambie "rejea kichwa cha mada hapo juu". Ambae hajaelewa asimlaumu mtoa mada ila atambue kuwa yeye ni "ZUZU"
  8. Z

    Kwa Wale wanasayansi tupia ujuzi wako

    Msaada wakuu, nina ndugu yangu amepata division 4 ya point 19, anataka kusoma diploma ya medical doctor .naomba ushauri wa chuo ambacho kinatoa course hiyo, ukiwa unajua na ada yake itakuwa imetulia.
  9. Z

    Matokeo kidato cha sita 2013

    Walitangaza yatatoka mwezi wa saba, hayo ya wiki ijayo yakwako
  10. Z

    viwango vipya vya ufaulu kwa kidato cha sita kuongezwa ni busara wakati huu?

    ebu fikiria kwanza elimu yetu ilivyokuwa ngumu. co utaketu kuwa ya kimataifa kwa kupandisha grade ,warahicshe kwanza km ilivyo kimataifa na kuboresha faclities
  11. Z

    J.K. Awaasa Muslim University Morogoro

    Kauli ya raisi inalenga kutilia mkazo kile kilicho bora wakiendeleze. Ila zuzu asiye tafakari anacoment ujinga ambao wala hauhusiani
  12. Z

    Mama Rwakatare anahaha kumuokoa Mch. Jean aliyekamatwa kwa Ubakaji!!!

    Hakuna binadamu ambae anauwezo wa kuwa na mamlaka ya mungu hapa duniani, ni uongo mtupu. Hakuna mchungaji asiye tenda zambi sasa sijui huwa anaungama kwa nani. Nakama yeye mwenyewe anadhambi anawezaje kuwasamehe watu zambi eti ..., wote kuni za jahanamah!
  13. Z

    Mfumo wa Digital: 'Local Channels' watoa kilio kwa serikali

    Watanzania walipo lalamika kukosa vipind vya television, haikuwauma na wala hamkujua kama katiba imekiukwa ila kwakuwa mnakosa mapato mmejua kama katiba imekiukwa. So mnachojali nimaslahi yenu ss nasisi hatutaki. kwanza mmetupunguzia gharama za matumizi yasiyo ya lazima japo yanaumuhimu.
  14. Z

    Diamond: Msimamo wangu wa kujenga msikiti bado uko pale pale!

    Mwache ajenge lakini ataambulia kukumbukwa na wananchi, hata afe hapati kitu na hizo pesa zake za kulewa
  15. Z

    Al-jazeera islamic center yaishukia mtanzania

    Sasa redio iman imefungiwa ili magaidi kuliko mmarekani (alie lipua nagasaki na hiroshima,anachochea mauaji kila siku ila mungu hajampa ugaidi kama waislam) wasisikike. Furahini
Back
Top Bottom