sijajua kuhusu walioomba certificate ndugu yangu. Mimi kuna dogo fulani wa jiran aliomba kusoma ile advance + education tena alchagua CBE (Chemistry, biology na Education) lkn cha kushangaza wamempeleka diploma ya awali.
Ukitaka kujua habari kamili kuhusiana na majina ya wanavyuo vya ualimu tembelea website hii www.nacte.go.tz ili umalize ubishi wa maneno
inauma xana kwa sisi tulio na division four!
kama una three na uliomba tafadhali nitupimie jina lako kamili au school index yako pasipo malipo yoyote
naomba mnifahamishe wakuu hayo majina ya waliochagualiwa vyuo vya ualimu ni ya 4m 6 au ni ya 4m 4,. maana mdogo wangu kamaliza 4m 4 na amepata div 3 tena ya masomo ya sayansi lakin jina lake halionekani
mkuu hayo mjina ni kwa walioapply kupitia cas tu? vip kuhusu walioaply kupitia posta
Ukweli ni kwamba lazima majina hayo yatoke kwani wakuu wa vyuo vya private walisha pewa taarifa na wizara kuwa ualimu mwisho ni div.4.34...na wanafunzi wamesha anza masomo katika vyuo vya private haiwezekani mambo yakabadilika bila taarifa maalum kwa wakuu wa vyuo hivyo! Hebu jaribu kuwasiliana na mkuu yeyote wa chuo cha private halafu leta majibu hapa, maana kila mtu anasema lake
|source:common sense|
naomba mnifahamishe wakuu hayo majina ya waliochagualiwa vyuo vya ualimu ni ya 4m 6 au ni ya 4m 4,. maana mdogo wangu kamaliza 4m 4 na amepata div 3 tena ya masomo ya sayansi lakin jina lake halionekani