Recent content by Zizuu

  1. Zizuu

    Hivi Kwanini tunawapa wanawake hela?

    wanawake lazima tuwape pesa coz kila kiungo au mwili wake waitaji upate service
  2. Zizuu

    Nimeingia kwenye uhusiano naye kama mwezi 1 hivi lakini tayari anataka nimkopeshe pesa milioni 2

    Nadau nimeingia kwenye uhusiano naye kama mwezi mmoja hivi lakini tayari sasa hivi anataka nimkopeshe pesa shilingi milioni mbili Yeye ni mtumishi wa umma ila wasiwasi wangu nikimpatia hiyo pesa atarudisha kweli au ndio nitacheza karata tatu kuliwa maana ni mapema Wale wazoefu waniambie...
  3. Zizuu

    Natamani kufanya naye mapenzi ila hanielewi

    mlibati kama wiki moja ivi upime upepo
  4. Zizuu

    Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mwenye kazi na kipato kizuri

    Unapo Funga ndoa kumbuka unaunganisha familia au koo mbili yaani upande Wa mwanamke na wewe mwanaume na wakati mwingine kunatokea matatizo kwenye izo famalia yaani matatizo ya kifedha asikwambie MTU Mke gori kipa afai ata kidogo Kwa wakati huu tulionao lazima umtafute Mke Mfanya kazi mwisho Wa...
  5. Zizuu

    Urafiki, Mapenzi, Uchumba na Ndoa JF

    Kweli kbsa maisha ni safari ndefu
  6. Zizuu

    Nimemfuma mtoto wa mke wangu akinichungulia

    Kwa fasta fasta inaonesha wewe unalelewa na huyo mama Wa huyo binti sasa wewe kama unataka kufukuzwa wewe Fanya nae mpenzi huyo mtoto uone kama ujafukuzwa hapo unapolelewa na maisha Kwako yatakua magumu sana pindi akigundua mama yake unatembea nae mtoto wake
  7. Zizuu

    Majambazi yaua askari Mkuranga na kujeruhi!

    jeshi la polisi linatakiwa lifanyiwe mabadiliko ya kiutendaji utakuta marapisi ocd occid oss wapo tu ofisini na kulala majumbani kwao itatakiwa wasilale doria wakati wote hii itasaidia lingine mtu akibainika jambazi na ushaidi wa siraha upo basi asipelekwe mahakamani dawa ni kuwaua tu kamata...
  8. Zizuu

    Gari linauzwa

    sio sehemu yake ili jukwaa la siasa kijana acha kuuza magari mabovu utafungwa
  9. Zizuu

    All African presidents in meeting with Obama; Kagame out

    uwezi fananisha kagame na mkuu wa kaya mleta mada unaupeo wa kufikiri kagame mmoja sawa na wakuu wa kaya 9 kagame yupo juu huo mkutano umsaidii kitu
  10. Zizuu

    Zitto Kabwe: Maelezo yangu kuhusu kazi za Kigoma AllStars/LEKADUTIGITE kwa NSSF na TANAPA

    mbona watu wengi wanauguliwa na wanajibu hoja zito zambi ya usaliti itakutafuna adi mwisho na ndio maana ukamwalika mkuu wa kaya aje kumjulia hali bi mkubwa wako wewe ni mwizi kama kile chama kinacho kutumia kuuwa upinzani nchini
  11. Zizuu

    Waziri Mkuu - Pinda, aka "Liwalo na Liwe" ataka kujiuzulu na mengineyo

    huyu nae mzigo aende zake mnafiki huyu kajifananisha na mkulima jinsi gani kaonesha udhaifu mkulima awezi kukomboleka yani ni mtu duni
  12. Zizuu

    Babu Seya na Wanae kusota Jela Maisha!

    dah tuombe miujiza itokee atoke
  13. Zizuu

    Angalizo la kuwakumbusha tena chadema

    kwa mwendo huu awataweza kama chemba la mavi alishindwa kwenye ugaidi na kudai anaweza kutoa ushaidi ata mbinguni mpaka sasa kara mitini kinana nae ile ishu ya pembe za ndovu itaendelea kumuathili kisaikolojia miaka nenda miaka rudi
  14. Zizuu

    Laiti kesi zote zingekuwa kama 'ya Kapuya'

    Babu Seya asinge fungwa
Back
Top Bottom