Laiti kesi zote zingekuwa kama 'ya Kapuya'

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Kwa kuachwa tuhuma nzito za ubakaji wa Prof.Juma Athumani Kapuya kuelea na kuelezwa magazetini tu, hakutoi sura nzuri kitaifa.Hii ni kwakuwa tuna Serikali yenye vyombo vyake imara kabisa. Vyombo hivi vina uwezo na mamlaka ya kushughulikia shutuma/tuhuma nzito za ubakaji kama hizi kwa haraka sana. Zipo kesi (kama ya Lwakatare wa CHADEMA) zilizoanzia katika vyombo vya habari-tena mtandaoni.

Lwakatare akakamatwa;akashtakiwa;akafutiwa baadhi ya mashtaka yake na kuachiwa kwa dhamana. Kesi yake (sasa ikiwa na shtaka moja) bado inaendelea. Kwa Lwakatare hakuwa aliyejichomoza kama mlalamikaji. NI rahisi kusema kuwa Lwakatare hakulalamikiwa ila alishutumiwa.Lakini alikamatwa. Kapuya naye 'hakulalamikiwa' ila ameshutumiwa. Na hakamatwi. Kwanini? Uchama?

Nasisitiza kuwa malalamiko dhidi ya Lwakatare hayaonekani kufika Polisi kabla ya kukamatwa kwake. Ni kama Prof.Kapuya. Wakati Lwakatare alielekezewa Mahakamani;Kapuya ameachwa ajadili na kujadiliwa na vyombo vya habari. Baada ya mjadala huu wa vyombo vya habari,nini kitafuata?

Ingekuwa vyema kama kesi/tuhuma zote dhidi ya makada wa CCM na wapinzani wote zingeshughulikiwa hivi. Polisi,Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka na Mahakama zetu zikose kazi. Lakini, kuna utofauti. 'Waziri Mkuu mtarajiwa' analalamika na kulalamikiwa lakini Mahakama hazihusishwi. Kwanini?

Yawezekana aina mpya ya kushughulikia malalamiko dhidi ya raia wa nchi hii (kujadiliwa tu kwenye vyombo vya habari) ndiyo imeanza kutumika. Na itumike kwa usawa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Mzee tupatupa kapuya ni mwenye nchi hawez kamatwa.kilicho mponza lwakatale na wengineo ni kukosa kadi ya ccm.

No one is above the law except ccm members.
 
Mzee tupa tupa,
Wananchi tumeishaelewa vema kuwa hakuna usawa katika sheria hapa nchini. Wakubwa wamejiundia "pepo" yao ambamo hakuna kuhojiwa, wala kushtakiwa au kuchukuliwa hatua yeyote ile kwa matendo yao maovu kama kuuza "unga", kubaka, ufisadi, uongo, dhuluma, nk. rejea kauli ya Kapuya "watoto wetu wanuza dawa za kulevya nani anawakamata? nani atapingana na sisi?" hapa ndipo nchi yetu ilipofika hakuna utawala wa sheria wala usawa katika sheria. Tumeshuhudia nguvu kubwa ya utetezi wa kapuya kwenye magazeti na hapa mtandaoni ili kupindisha ukweli japo wanazidi kujikoroga katika maelezo yao kuonyesha kuwa wamepaniki na hwako "organized" lakini vyombo vya dola wala haliwahusu! Afande kova anasema hilo ni jambo binafsi! hivi kweli tuhuma za kubaka ni jambo binafsi?

jambo moja wanalosahau hawa watawala wetu ni hili...dhuluma haitadumu milele.
 
Ukiwa ndani ya ccm we huna kosa us, iba, vunha, fanya utakalo huguswi
 
ndio maana wanadiriki hadi kufanya mauaji ya kutisha ili mradi waendelee kutawala, sababu wanajua siku wakiondolewa madarakani magereza hayatatosha.
 
NATAMANI KUWA WAZIRI MKUU KABLA SIJAZEEKA ZAIDI -SAMWELI SITA
Division four point 29 = Masters Mzumbe University. Nape Nnauye is my role model
.
 
Kwa kuachwa tuhuma nzito za ubakaji wa Prof.Juma Athumani Kapuya kuelea na kuelezwa magazetini tu, hakutoi sura nzuri kitaifa.Hii ni kwakuwa tuna Serikali yenye vyombo vyake imara kabisa. Vyombo hivi vina uwezo na mamlaka ya kushughulikia shutuma/tuhuma nzito za ubakaji kama hizi kwa haraka sana. Zipo kesi (kama ya Lwakatare wa CHADEMA) zilizoanzia katika vyombo vya habari-tena mtandaoni.

Lwakatare akakamatwa;akashtakiwa;akafutiwa baadhi ya mashtaka yake na kuachiwa kwa dhamana. Kesi yake (sasa ikiwa na shtaka moja) bado inaendelea. Kwa Lwakatare hakuwa aliyejichomoza kama mlalamikaji. NI rahisi kusema kuwa Lwakatare hakulalamikiwa ila alishutumiwa.Lakini alikamatwa. Kapuya naye 'hakulalamikiwa' ila ameshutumiwa. Na hakamatwi. Kwanini? Uchama?

Nasisitiza kuwa malalamiko dhidi ya Lwakatare hayaonekani kufika Polisi kabla ya kukamatwa kwake. Ni kama Prof.Kapuya. Wakati Lwakatare alielekezewa Mahakamani;Kapuya ameachwa ajadili na kujadiliwa na vyombo vya habari. Baada ya mjadala huu wa vyombo vya habari,nini kitafuata?

Ingekuwa vyema kama kesi/tuhuma zote dhidi ya makada wa CCM na wapinzani wote zingeshughulikiwa hivi. Polisi,Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka na Mahakama zetu zikose kazi. Lakini, kuna utofauti. 'Waziri Mkuu mtarajiwa' analalamika na kulalamikiwa lakini Mahakama hazihusishwi. Kwanini?

Yawezekana aina mpya ya kushughulikia malalamiko dhidi ya raia wa nchi hii (kujadiliwa tu kwenye vyombo vya habari) ndiyo imeanza kutumika. Na itumike kwa usawa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Mtu mmoja alionekana amevaa kombati akiwa katika picha na Mbunge wa Arusha Godbless Lema. Muda si mrefu wakuu wote wa majeshi wakainuka na haikuchukua muda akakamtwa na kuswekwa ndani na sasa anasota gerezani. Mwigulu Mchemba naye alionekana akiwa amevalia kombati za jeshi. Jiulize yeye nini kilimtokea? Hakuna lolote alilofanywa hata kuhojiwa au kuitwa polisi. Yule wa kwanza angepiga akiwa na kina Kinana na Nape haingekuwa ishu! Hiyo ndiyo sheria ya Tanzania! Ukiwa CCM uza hata sembe jina lako hata rais akiwa nalo jua uko salama!
 
Kwa kuachwa tuhuma nzito za ubakaji wa Prof.Juma Athumani Kapuya kuelea na kuelezwa magazetini tu, hakutoi sura nzuri kitaifa.Hii ni kwakuwa tuna Serikali yenye vyombo vyake imara kabisa. Vyombo hivi vina uwezo na mamlaka ya kushughulikia shutuma/tuhuma nzito za ubakaji kama hizi kwa haraka sana. Zipo kesi (kama ya Lwakatare wa CHADEMA) zilizoanzia katika vyombo vya habari-tena mtandaoni.

Lwakatare akakamatwa;akashtakiwa;akafutiwa baadhi ya mashtaka yake na kuachiwa kwa dhamana. Kesi yake (sasa ikiwa na shtaka moja) bado inaendelea. Kwa Lwakatare hakuwa aliyejichomoza kama mlalamikaji. NI rahisi kusema kuwa Lwakatare hakulalamikiwa ila alishutumiwa.Lakini alikamatwa. Kapuya naye 'hakulalamikiwa' ila ameshutumiwa. Na hakamatwi. Kwanini? Uchama?

Nasisitiza kuwa malalamiko dhidi ya Lwakatare hayaonekani kufika Polisi kabla ya kukamatwa kwake. Ni kama Prof.Kapuya. Wakati Lwakatare alielekezewa Mahakamani;Kapuya ameachwa ajadili na kujadiliwa na vyombo vya habari. Baada ya mjadala huu wa vyombo vya habari,nini kitafuata?

Ingekuwa vyema kama kesi/tuhuma zote dhidi ya makada wa CCM na wapinzani wote zingeshughulikiwa hivi. Polisi,Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka na Mahakama zetu zikose kazi. Lakini, kuna utofauti. 'Waziri Mkuu mtarajiwa' analalamika na kulalamikiwa lakini Mahakama hazihusishwi. Kwanini?

Yawezekana aina mpya ya kushughulikia malalamiko dhidi ya raia wa nchi hii (kujadiliwa tu kwenye vyombo vya habari) ndiyo imeanza kutumika. Na itumike kwa usawa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Double standrds za serikali nyiingi za kiafrica, yote hayo yanasababishwa na ubinafsi uliokithili!
 
[QUOTE=VUTA-NKUVUTE;7866286

Ingekuwa vyema kama kesi/tuhuma zote dhidi ya makada wa CCM na wapinzani wote zingeshughulikiwa hivi. Polisi,Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka na Mahakama zetu zikose kazi. Lakini, kuna utofauti. 'Waziri Mkuu mtarajiwa' analalamika na kulalamikiwa

Kapuya ndie waziri mkuu mtarajiwa ? my foot
 
kama wamekusikia watasema ama kuchukua hatua; wengi inatushangaza na kutusikitisha hii habari ya viwango vya aina mbili.
 
Ngoja waje humu Buku7FC watakavyotokwa povu utadhani bia iliyoharibika. Kawaida hawana point, wao ni kubisha tu. Hawa huwa nawafananisha na yule Mpemba mwanachama wa CUF aliyegoma kumchukulia hatua Mgoni wake aliyemfumania na mkewe, kosa, mgoni ni kiongozi wa CUF, jamaa utetezi wake eti anaogopa kukitia doa chama! Yaani umepigiwa kavukavu, unaogopa kukitia doa chama!
 
Back
Top Bottom