Nimeingia kwenye uhusiano naye kama mwezi 1 hivi lakini tayari anataka nimkopeshe pesa milioni 2

Zizuu

Senior Member
Apr 17, 2013
136
28
Nadau nimeingia kwenye uhusiano naye kama mwezi mmoja hivi lakini tayari sasa hivi anataka nimkopeshe pesa shilingi milioni mbili

Yeye ni mtumishi wa umma ila wasiwasi wangu nikimpatia hiyo pesa atarudisha kweli au ndio nitacheza karata tatu kuliwa maana ni mapema

Wale wazoefu waniambie nikitoa hii pesa atarudisha kweli?
 
Nadau nimeingia kwenye uhusiano naye kama mwezi mmoja hivi lakini tayari sasa hivi anataka nimkopeshe pesa shilingi milioni mbili

Yeye ni mtumishi wa umma ila wasiwasi wangu nikimpatia hiyo pesa atarudisha kwel au ndio nitacheza karata tatu kuliwa maana ni mapema

Wale wazoefu waniambie nikitoa hii pesa atarudisha kwel?
Ka unayo si umpe na wewe halafu unamukula kidogokidogo
 
We kopesha tu
 
Duh! Kwanza wewe ni Me au Ke?
Pili, kama kweli unataka kumsaidia, chukua hiyo pesa, alafu umpe mtu anayejua kudai. Mwambie huyo mpenzi wako kuwa huna, ila utamdhamini akakopeshwe na mtu fulani. Unaenda naye kwa yule mtu alafu wanaandikishana. Chochote kitakachotokea, watadaiana wao kwa wao. Wewe utaweza kuipata pesa yako kwa mgongo wa nyuma.
Otherwise, hiyo milioni mbili iwe ni pesa ndogo kwako. Yani isiwe imezidi asilimia 20% ya pesa yote unayomiliki. Ikizidi hapo utakuja kushika kichwa....
 
Kwa uzoefu wangu mpenzi hakopeshwi.Hiyo ukiitoa hesabu maumivu,maana kurudisha itakuwa ngumu sana na utajuta.Ushauri; usije kujaribu kumkopesha,kuwa mkavu mwambie hauna.Kwani kabla haujakutana naye hizo shida za kukopa hela alikuwa anazitatua wapi.
 
Back
Top Bottom