Urafiki, Mapenzi, Uchumba na Ndoa JF

Ni kweli kabisa Nazjaz na mimi pia nilishasema natafuta mchumba ila bado sijampata alie tayari please tuwasiliane kweny private message

umesema ukweli kabisaaaaaa........mi nafikiri kama unampenda mtu kwa yale aandikayo au anayoyaunga mkono si mbaya mkafahamiana,yote ni maisha tu....na hayana formula......lidumu hili jukwaa....
 
Mmmmmh :coffee:
 
Michelle,
hebu njoo kule nikupatie ujumbe wako!!!!!
 
maisha ni safari ndefu, kimzaha mzaha hapa JF unaweza kuanza urafiki na mtu, ukadevelop ukawa MAPENZI, Mapenzi nayo yakawa uchumba, kisha MUNGU akijalia ndoa yenye heri na fanaka ikatoka hapa JAMII FORUMS.
Lidumu Jukwaa la Mahusiano, mapenzi na urafiki.
naamini kila mtu amesha wahi kupata hisia za mwana JF mmoja, hata kama hujataka urafiki utakuwa umetaka at least umuone.

Mimi sijapata hisia.
 
Mmmmmhhhh.... unaweza kujikuta unaota avatar ya mtu....LOL this is serious...I need a rehab ASAP.
 
Back
Top Bottom