Nina furaha sana siku ya leo na sababu kubwa ni kuwa leo ni birthday yangu.Sikujua kwamba unapokuwa umetimiza miaka 25 ndo JF inakutambua kama Senior member.Namwomba Mungu anipe kibali cha kuishi miaka mingi zaidi hata na mimi nipate kutimiza ndoto zangu. Ni mwaka huu ndo natazamia kumaliza IFM...
Jamaa ni mtu wa visasi ile mbaya au mmesahau ya Babu Seya.
Kama haitoshi muulizeni Masoudi Kipanya kisa cha yeye na Fina Mango kufukuzwa Clouds FM.
Kama haitoshi hata alipokuja kupata kipindi TBC JK akamfata Tido huyu mtu sitaki kumwona ndo chanzo cha Maisha plus kufa.
Mr Ruge is a businessman hata siku moja huwezi kufanikiwa ukiwa against na rulling party so kujipendekeza kwake kwa sisiem kuna isaidia clouds media. Hata wewe ukiwa na media yako ukiwa against watakusumbua mpaka basi.
Angalia watu kama Bakharesa kaiba pembe za ndovu mpaka basi enzi za Mwinyi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.