Recent content by ZINDAGI

  1. ZINDAGI

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Mabasi ya Mwendokasi yataanza kazi Mbagala Desemba 2024

    December si ndio hii?
  2. ZINDAGI

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Temeke ni mbovu, wahusika hamuioni?

    Kuna hali ya kutozijali barabara za Wilaya ya Temeke kwa kiasi kikubwa, wahusika ni kama hawajihusishi kabisa. 1. Barabara ya Temeke ina mashimo makubwa ambayo yanachangia kuharibu magari, kusababisha foleni, na kufika sehemu muhimu kwa wakati. Mashimo haya yapo tangu mvua za vuli za mwaka jana...
  3. ZINDAGI

    JamiiForums Tanzania Tuwape Tanesco maua yako haraka

    Hapa tulipo hatua umeme tangu asubuhi
  4. ZINDAGI

    JamiiForums Tanzania Wachezaji 12 wageni kwenye timu ni sumu kwa Taifa stars

    Timu kubwa ilizotaja zina wachezaji wageni zaidi ya asilimia 80% ktk first 11 zao hao wazawa watatoka wapi
  5. ZINDAGI

    JamiiForums Tanzania Tanzania kujenga viwanja 6 vipya bora vya mpira kabla ya 2026

    Na sisi huku Mafia mtujengee kimoja, hatuwezi kuwa tunapanda maboti kuja kuangalia mechi huko kila mara.
  6. ZINDAGI

    JamiiForums Tanzania Tarura Temeke, barabara zinazojengwa za zege hazijengwi kama design inavyotaka

    Habari za kutwa, tunaomba wataalam wa Tarura Temeke mpitie hizi barabara zinazojengwa, scope haikamiliki, barabara hazina mitaro, baraara vipande vipande hazikamiliki, taa za barabarani hakuna, Kingdom zinajazwa michanga. Tuhurumieni
  7. ZINDAGI

    JamiiForums Tanzania Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka

    Ahsante kwa kazi nzuri Natafuta scholarship za Medicine, naomba muongozo kiongozi
  8. ZINDAGI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye naenda kuumbuka. Mimi ndiye nilikuwa chanzo cha Unit 13.7 kuisha ndani ya masaa 8 hadi 12

    Kuna mganga yupo Keko Magurumbasi huwa anawuwezo wa kubadilisha mawazo ya mwenye nyumba, Nione nikusaidie
  9. ZINDAGI

    JamiiForums Tanzania Jina Kilimanjaro stars kwa timu yetu ya football kwa wachezaji wa bara linachanganya.

    Basi tuuite Tandale Stars
  10. ZINDAGI

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

    Sub mbovu hii
Back
Top Bottom