Recent content by zimaroho

  1. zimaroho

    JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto ya kutisha sana juu ya kitachotokea uwanjwa taifa kesho

    Si mlevi Wakishinda nitanufaika na nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. zimaroho

    JamiiForums Tanzania Msikilize Florent lbenge Kocha wa AS VITA, akiizungumzia SIMBA

    Mwalim wa As Vita ajakosea alichosema, Simba bado haiaminiki, wala na mashabiki wake, wala na wachambuzi wa michezo hapa nyumabani, na wengi tulizima radio na TV wakati mchezo ukiendelea, Sent using Jamii Forums mobile app
  3. zimaroho

    JamiiForums Tanzania Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Na tena patakaswe kwa damu ya nguruwe ili pawe patakatifu,
  4. zimaroho

    JamiiForums Tanzania Huyo De Gea ni jini!

    Ngoja nitafute video nijionee alichofanya
  5. zimaroho

    JamiiForums Tanzania Hiyo ndio ilikuwa Mbuguni (Kwa sasa Mererani) enzi hizo

    Unaonaje wewe ukatuletea ile ambayo si ya kutunga, ikiwa imesheheni visa na vita vya wasonjo na wajaluo, apolo pamoja na wamasai na hatima ya kabangi,
  6. zimaroho

    JamiiForums Tanzania Hiyo ndio ilikuwa Mbuguni (Kwa sasa Mererani) enzi hizo

    Ameshafariki miaka kama mi4 iliyopita,
  7. zimaroho

    JamiiForums Tanzania Wale wacheza kamari CASSINO tukutane hapa

    Alafu jomba ’ roullete inalipa mara 36 kwa kila kiasi unachobet kwenye namba moja utakayobet na kupatia, sasa laki moja unapataje milioni 27, Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. zimaroho

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Dotto Bulendu umenikosea, sijalilia fadhila bali nadai haki

    Njia ya jehanamu/ kuzimu imepambwa kwa nia njema.’
  9. zimaroho

    JamiiForums Tanzania WCB, Diamond na Rayvanny watozwa Tsh milioni 9 kutokana na maudhui mabovu ya wimbo 'Mwanza'

    AtakuwA ana nyege anataka wamwambaluti
  10. zimaroho

    JamiiForums Tanzania Funzo kutoka kifo cha Mke wa Reginald Mengi, Marehemu Mercy Anna Mengi

    IPP nusu mlingoti kila napofungua ni maombolezo, acha fitina.
  11. zimaroho

    JamiiForums Tanzania Iphone 7 plain new inauzwa

    Weka picha yako angalau
  12. zimaroho

    JamiiForums Tanzania Kitendo alichofanyiwa Amber Rutty si kizuri. Watetezi wa Haki za Binadamu mko wapi?

    ‪DHAMBI NI TAMU; Asiye na makosa dhambi na awe wa kwanza kuhukumu, Ee Mungu nakuomba uwasamehe hawa ambao zambi zao zinaonekana kubwa kisa zimevuja, na wale ambao zambi zao ni kubwa ila wamezificha pia, nasi sote tusioona zambi zetu, tusamehe na kuturehemu na utuokoe viumbe wako, zidi ya nguvu...
  13. zimaroho

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema kuongea na waandishi wa habari kuhusu mauaji ya wananchi Kigoma na kukamatwa kwa Zitto

    Mtuhumiwa ndio mpelelezi, unatafuta usahii gani,
  14. zimaroho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu mchoyo anapika chakula kidogo sishibi kabisa

    Ata kuwa na homa ya kusahau
Back
Top Bottom