Recent content by zilzal

  1. Z

    Tuliomkataa Lowassa, Makuwadi wa Mabadiliko "Yale" na Waliojipanga Nyuma Kosa Letu Nini?

    Mwanakijiji anajua sana aliowapigania wameanza na mguu wa kushoto.ndio maana bado anaendelea kutafuta scape goat.
  2. Z

    Zitto: Asilimia 60 ya hotuba ya Magufuli imetoka kwenye Ilani ya ACT-Wazalendo

    Tuvute subira tuone lipi litakuwa jipu la kwanza kutumbuliwa.
  3. Z

    Our Democracy Lives On, Imperfect As It Is

    Is the election credible ? If not what shall we call it incredible ?
  4. Z

    Magufuli akishinda Urais, uhusiano wetu na serikali ya Kenya utakuwaje?

    THURSDAY, DECEMBER 13, 2012 ODM Kenya yamkingia kifua Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli Kwa ufupi Chadema pia kilimtaka Rais Jakaya Kikwete atolee kauli hatua hiyo ya waziri wake, vinginevyo nchi itakuwa na uhusiano mbaya na Kenya, endapo Raila hatachaguliwa kuwa Rais. Akizungumza na...
  5. Z

    Wito kwa WANAUKAWA wenzangu wote!!!

    Tuwakumbushe mawakala wetu kurekodi serial numbers za fomu za kupigia kura zilizopo kwenye kituo kabla yakuanza zoezi la kupiga kura.hili litaweza kudhibiti.goli la mkono kutoka nje ya kituo.
  6. Z

    Lowassa asababisha timua timua ITV

    Hao wafanyakazi wa ITV wasiishie kufukuzwa kazi tu,tunataka kuona sheria ya mitandao lnafanya kazi dhidi Yao.
  7. Z

    Tamaa ya Lowassa ya uongozi yamfikisha katika fungu la kukosa

    Historia inasema " Lowassa hajawahi kushindwa uchaguzi wowote"
  8. Z

    Mbowe asalimu amri kwa Slaa

    Mzee Slaa kesharudisha fahamu sake na sasa anataka kurudi nyumbani kuendelea na Kazi yake ndani ya chadema.
  9. Z

    Wanaofikiria Lowassa ataingia ikulu wanaumwa

    Endeleeni kujipa moyo.muda si mrefu lichama litakua juu ya mawe.
  10. Z

    UKAWA sasa IKAWA?

    Mwanakijiji na wenzake,walichokitaka ni kuwa vyama hivi vinabakia kuwa pressure group.lakini walipostuka wakakuta tayari Gia ishabadilishwa angani.wanachotakiwa kwa sasa ni kusubiri maumivu ya okt.25.kama ni karamu tayari imeshaliwa.
  11. Z

    Rais Kikwete na Tundu Lissu wakutanishwe

    Huwezi ukaongelea Richmond ukaiwacha Dowans.unapoisifia Dowans kumbuka huyo no mtoto wa Richmond.
Back
Top Bottom