Rais Kikwete na Tundu Lissu wakutanishwe

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Wawili hawa wakutanishwe. Wanajua mambo makubwa kuhusu Richmond. Wanamjua mhusika na mmiliki. Wakutanishwe uso kwa uso live ili watueleze ukweli juu ya suala hilo kwa nyaraka na hoja.

Muda ni huu wa kumaliza kadhia hii!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Mwizi na mahakama hapo ni sawa na sumaku na sumaku, haita weza kutokea
 
Kikwete aeleze ilikuaje akaenda na Obama kwenye mitambo ya symbion iliyonunuliwa toka Dowans iliyoletwa na Richmond?
Kikwete atueleze ni uzembe wa nani kama baba mwenye nyumba hakutekeleza wajibu wake?
 
Tatizo la Rais anajiabisha bure kwa kujiingiza kwenye kampeni za mafumbo badala ya kueleza amefanya nini kwa kipindi cha

utawala wake na kwanini ameshindwa kutimiza ahadi zake nyingi
 
Mkuu mkulu wetu sometime anajisahau kama yeye ni presider
 
nakumbuka kwenye mkutano wa halmashauri ya ccm kikwete aliwai kusema hamjui mmiliki wa Richmond leo vip tena pia Tundu lisu anasema Richmond ni ya kikwete
 
Wawili hawa wakutanishwe. Wanajua mambo makubwa kuhusu Richmond. Wanamjua mhusika na mmiliki. Wakutanishwe uso kwa uso live ili watueleze ukweli juu ya suala hilo kwa nyaraka na hoja.

Muda ni huu wa kumaliza kadhia hii!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

taarabu vs hiphop
 
Kikwete aeleze ilikuaje akaenda na Obama kwenye mitambo ya symbion iliyonunuliwa toka Dowans iliyoletwa na Richmond?
Kikwete atueleze ni uzembe wa nani kama baba mwenye nyumba hakutekeleza wajibu wake?
mama yangu !!!!!!
 
Wawili hawa wakutanishwe. Wanajua mambo makubwa kuhusu Richmond. Wanamjua mhusika na mmiliki. Wakutanishwe uso kwa uso live ili watueleze ukweli juu ya suala hilo kwa nyaraka na hoja.

Muda ni huu wa kumaliza kadhia hii!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
natabiri - kuna mmoja atatoka nduki vibaya sana !
 
Wawili hawa wakutanishwe. Wanajua mambo makubwa kuhusu Richmond. Wanamjua mhusika na mmiliki. Wakutanishwe uso kwa uso live ili watueleze ukweli juu ya suala hilo kwa nyaraka na hoja.

Muda ni huu wa kumaliza kadhia hii!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Tundu Lissu hana hadhi ya kukutanishwa na kikwete. Waongee nini? Fisadi anafahamika Lissu hajitambui Ni mropokaji na msahaulifu.
 
Back
Top Bottom