Wito kwa WANAUKAWA wenzangu wote!!!

DAKA MTUMBA

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,288
801
Tar 25 hiyooooo.Ebu tukapigeni kura kwa wingi siku hiyo ili tuyan'goe magambaz.
Lakini tukishapiga kura tujiongeze kidogo, tunao mawakala na tumewaamini wewe wawakilishi wetu kwenye kulinda kura zetu, ya nini sasa kubaki vituoni kulinda kura?
Hivi ukiuwawa kwa kulinda kura familia yako itaishi vipi?
Au ninyi wenzangu hamna familia?
Jamani hili ni wazo langu tu maana najua hatutaweza kuibiwa kura kiasi cha kutoweza kwenda ikulu.
Ahsanteni nyote!!!
 
Tuwakumbushe mawakala wetu kurekodi serial numbers za fomu za kupigia kura zilizopo kwenye kituo kabla yakuanza zoezi la kupiga kura.hili litaweza kudhibiti.goli la mkono kutoka nje ya kituo.
 
Back
Top Bottom