Simu zipo nyingi ambazo kwa huku kwetu tunaweza kusema ni org mchina ingawa hazijapita kwenye kiwango cha kimataifa ikiwemo-:
Tecno,Gtide,oking,Xtigi,Ajo,Dorado, Itel, godwin, hizi ni nzuri na zote unaweza kutengeneza hata software zake zinapatikana.