TCRA mnayalinda makampuni na kuwanyanyasa wananchi

ZIGZAG

Member
Joined
May 31, 2012
Posts
54
Reaction score
5
Mmeunda sheria ya watumiaji wa simu bila ya kusajili watachukuliwa hatua kali ya kutozwa laki5 au jela miezi sita, hili limekaaje kwanini afungwe mtumiaji na ischukuliwe hatua kampuni ambayo ndio inyoruhusu mawasiliano hayo.

Sisi wananchi tulitegemea kuziona lain zote mpya ambazo hazijauzwa ziwe hazifanyi kazi bila ya kusajili ili utambulike na kampuni husika na hili tuliwahi kushuhudia kipindi fulani lain zilikua huwezi kupiga simu badala yake ilikua inangia tuu.

Kwanini mzigo huu wa kifungo usilekezwe kwenye kampuni na watu kuwaondole hizi haras za kila siku na mukawaacha wakaendelea kuhaangaikia mlo wao mmoja.

Ivi hii serkali yetu kweli inawapenda wananchi wake na kuendeleza kuwakumbatia wenye nacho. Tunaishauri TCRA ituachie wananchi ambao hatuna makosa yoyote waendelee kuzungumza na wamiliki wa kampuni za simu kuhusu uhalali wa kumuachia mteja kuendelea kutumia lain ambayo haijasajiliwa.
 
Mmeunda sheria ya watumiaji wa simu bila ya kusajili watachukuliwa hatua kali ya kutozwa laki5 au jela miezi sita, hili limekaaje kwanini afungwe mtumiaji na ischukuliwe hatua kampuni ambayo ndio inyoruhusu mawasiliano hayo. Sisi wananchi tulitegemea kuziona lain zote mpya ambazo hazijauzwa ziwe hazifanyi kazi bila ya kusajili ili utambulike na kampuni husika na hili tuliwahi kushuhudia kipindi fulani lain zilikua huwezi kupiga simu badala yake ilikua inangia tuu. Kwanini mzigo huu wa kifungo usilekezwe kwenye kampuni na watu kuwaondole hizi haras za kila siku na mukawaacha wakaendelea kuhaangaikia mlo wao mmoja.

...Kama kampuni za simu hazitaruhusu namba isiyosajiliwa kufanya kazi, automatically mtu mwenye namba isiyosajiliwa hatakuwa tatizo, kujaribu kumtisha Mtumiaji na kuziacha kampuni zinazoruhusu watu wasiosajiliwa kuweza kuzitumia simu zao ni kosa kubwa kwa TCRA, kama TCRA wapo serious wapambane na makampuni husika, kinyume chake vitisho hivyo kwa mtumiaji havina maana yoyote...
 
Mmeunda sheria ya watumiaji wa simu bila ya kusajili watachukuliwa hatua kali ya kutozwa laki5 au jela miezi sita, hili limekaaje kwanini afungwe mtumiaji na ischukuliwe hatua kampuni ambayo ndio inyoruhusu mawasiliano hayo. Sisi wananchi tulitegemea kuziona lain zote mpya ambazo hazijauzwa ziwe hazifanyi kazi bila ya kusajili ili utambulike na kampuni husika na hili tuliwahi kushuhudia kipindi fulani lain zilikua huwezi kupiga simu badala yake ilikua inangia tuu. Kwanini mzigo huu wa kifungo usilekezwe kwenye kampuni na watu kuwaondole hizi haras za kila siku na mukawaacha wakaendelea kuhaangaikia mlo wao mmoja.

Ivi hii serkali yetu kweli inawapenda wananchi wake na kuendeleza kuwakumbatia wenye nacho. Tunaishauri TCRA ituachie wananchi ambao hatuna makosa yoyote waendelee kuzungumza na wamiliki wa kampuni za simu kuhusu uhalali wa kumuachia mteja kuendelea kutumia lain ambayo haijasajiliwa.

Mkuu,
umeongea kitu cha muhimu sana na chenye mashiko. Nchi hii inajali manyang'au na kuumiza wananchi ambao kimsingi ndio chanzo kikubwa cha pato lao.
Kweli "I will marry when I want" by Ngugi wa Thiong'o.
 
TCRA njoo huku ujibu hiz habari tafadhari!
 
Last edited by a moderator:
Huu ni udikteta wa kuwaonea wananchi ambao wengi wao hawana na hawajui kabisa kama laini yake tayar imesajiliwa au la, kitu cha msingi kampuniwazifunge lain zote ambazo hazijasajiliwa na anependa kuendelea nayo aisajili ila wao wanaona kufunga laini zao ni hasara lakini wananchi wao wanaweza kubebeshwa mizigo huu.

Huu ni uonevu na huwezi hata kuisikia kokote only in Tanzania
 
Nchi hii ni kituko! Ni bora wakoloni kuliko watawala tulionao.
 
Back
Top Bottom