Acha upumbavu wewe!!! Yaani wewe unaina kuonewa ni kukojolea koran??? Tena unasema na mkiristo mwenzenu. We ni mpumbavu. Watu kama wewe hatuwezi kukaa na nyie. Hamjui maana ya maisha. Hivi unataka kunambia kuwa Syria, Somalia, Mali, Libya, Pakistan wote wanaochinjana kila siku ni mkiristo mwenzetu? Sisi Mungu wetu yupo hai. Anajipigania mwenyewe. Wewe inaonekana Mungu wako mpaka umpiganie. Hajui kujipigsnia ndo maana uko busy ukitafuta nani kakojoa wapi. Ndio maana hamuwezi kukojolea biblia kwa sababu mnajua Mungu wetu yupo hai...hatutapigana na nyie bali yeye Mungu. Unataja miskiti kuchomwa, umesahau aliyemchapa kofi Mwinyi. Kwa nini alimchapa? Nyie watu mna mapepo wachafu. Kuishi na nyie ni vigumu sana. Kwa sasa hivi mnalindana tu mkidhani kwamba labda kuna cha ajabu kitatokea....ni sawa sawa na wamarekani weusi waliomwona Obama akiwa raisi wakaanza kulinga wakidhani atawabadilisha. Ona idara zote zinazoongozwa na wenzenu; usalama wa taifa....sasa hivi limegeuka genge la majangiri. Jeshi la polisi...sasa hivi hata banda la kuku wangu siwezi waachia. Ona nchi yetu. Kiongozi wetu anatembea asilimia 75 za muda wake. Alafu sasa hivi mnataka tugawane lawama. Tanzania hakuna udini. Kuna magenge ya majangiri. Eti shekhe Ilunga ni kiongoxi wa kiroho wa mtu. Unaweza kuamini? Nyie hamthamini maisha yenu hivyo msitupe tabu. Sisi tunaamini zawadi ya kuishi tulipewa na Mungu nyie mnaamini mkiua watu wengi mnapewa baraka. Upumbavu mtupu. Hivi sasa aliyeua Arusha, hao mabikira aishapewa? Jifunze kuishi na watu na kufanya kazi kwa bidii. Mafanikio yanatafutwa sio kulalamika tu. Degree na phd mnaweza kugawiana lakini kichwani kama hamna kitu, mnajisumbua.Unakumbuka mauaji ya Mwembechai waliuawa viongozi wangapi wa kiislamu? Unakumbuka misikiti imewahi chomwa Tunduru? Unakumbuka Qur'ani imechanwa na kukojolewa mara ngapi? Unakumbuka waislamu Zanzibar 2001 waliuwawa wangapi na Mkiristo mwenzenu? Yatosha kwa leo. Inabidi kila mmoja aangalie matukio haya kama mtanzania na si kama muislamu ama mkiristo.
CHADEMA inanufaika na mgawanyiko wa kidini ndio maana wanashadidia!
niwe muwazi udini umeanza pale chama tawala kilipoamua kurotate wagombea urais kwa kigezo cha udini nani asiyejua kuwa next election ni mkristo ndo anagombea kama nchi ni moja na tuko sawa kwanini wanatumia kigezo cha dini..magamba niwadini.
Msitufanye waTZ mazezeta, wanaohubiri udini tunawajua na tunawafahamu na wanaosmea ukweli tunawafahamu,vile vile wanaokemea udini tunawafamu msituchanganye akili hapa.
Padri kapigwa risasi kajeruhiwa na mwingine kauawa, nani ameshikwa na kuhukumiwa???, Wanajulikana Mashekh na Wachungaji wanaohubiri udini na chuk hapa TZ nani anawashughulikia, kwanini wameachwa???
Watu wanajua kuna vutuo vya watoto wa Primary na sekondary hadi Vyuo wanafundishwa Jihadi, na kupandikizizwa Chuki mbona hakuna Hatua zinazochukuliwa...
Mara Kibao inasemekana kuna kituo cha kufundisha ugaidi na jihadi Kiwalani mbona Kipo, cha kushangaza ni Magari mengi sana ya Serikali yanaenda sana pale kuchukua nini???
Au Ndiyo wakufunzi wa hizo Jihadi wanatumia Magari yenye Namba za Serikali??? Msitake kuwahadaa watu..
We know alot about this issues... Wala hamtudanganyi
Dhambi kubwa kuliko zote ni dhambi ya uwoga, Heri kufa kwa kutenda haki na kusimamia ukweli kuliko kuwa mnafiki.
ZZK lazima amtetee JK kwani wanatoka mbali na kamwahidi vitu kibao
UKIJARIBU KUANGALIA HEKIMA iliyopo katika mchango wa ZZK jana bungeni!! unaweza usifikirie kama anatoka katika chama kilekile na mbumbumbu GODBLESS LEMA... kaongea ukweli mchungu,ambao hakuna aliye na uwezo wa kuusimamia wala kuuongea. katoa lawama kwa kila anayestahili na hata yeye amukuwa tayari kubeba lawama kwa nafasi yake.. na kwa sababu ni watz wachache walio na uzalendo na ukweli kama ZZK, basi tutarajie matusi na kejeli juu yake bila uchambuzi wa mantiki toka kwa wachangiaji.
this guyzzk is presidential material no wonder hata adui zake wanamkubali
ndaga mwanafyale,tupilike isi kujowa kyala akutulegeHayo yalikuwa matokeo ya udini uliokuwa unajengeka kimya kimya ndani ya jamii. Siku zote tusilaumu tulipoangukia,mtulaumu tulipojikwaa ili kisiki tulichojikwaa tuking'oe
Acha upumbavu wewe!!! Yaani wewe unaina kuonewa ni kukojolea koran??? Tena unasema na mkiristo mwenzenu. We ni mpumbavu. Watu kama wewe hatuwezi kukaa na nyie. Hamjui maana ya maisha. Hivi unataka kunambia kuwa Syria, Somalia, Mali, Libya, Pakistan wote wanaochinjana kila siku ni mkiristo mwenzetu? Sisi Mungu wetu yupo hai. Anajipigania mwenyewe. Wewe inaonekana Mungu wako mpaka umpiganie. Hajui kujipigsnia ndo maana uko busy ukitafuta nani kakojoa wapi. Ndio maana hamuwezi kukojolea biblia kwa sababu mnajua Mungu wetu yupo hai...hatutapigana na nyie bali yeye Mungu. Unataja miskiti kuchomwa, umesahau aliyemchapa kofi Mwinyi. Kwa nini alimchapa? Nyie watu mna mapepo wachafu. Kuishi na nyie ni vigumu sana. Kwa sasa hivi mnalindana tu mkidhani kwamba labda kuna cha ajabu kitatokea....ni sawa sawa na wamarekani weusi waliomwona Obama akiwa raisi wakaanza kulinga wakidhani atawabadilisha. Ona idara zote zinazoongozwa na wenzenu; usalama wa taifa....sasa hivi limegeuka genge la majangiri. Jeshi la polisi...sasa hivi hata banda la kuku wangu siwezi waachia. Ona nchi yetu. Kiongozi wetu anatembea asilimia 75 za muda wake. Alafu sasa hivi mnataka tugawane lawama. Tanzania hakuna udini. Kuna magenge ya majangiri. Eti shekhe Ilunga ni kiongoxi wa kiroho wa mtu. Unaweza kuamini? Nyie hamthamini maisha yenu hivyo msitupe tabu. Sisi tunaamini zawadi ya kuishi tulipewa na Mungu nyie mnaamini mkiua watu wengi mnapewa baraka. Upumbavu mtupu. Hivi sasa aliyeua Arusha, hao mabikira aishapewa? Jifunze kuishi na watu na kufanya kazi kwa bidii. Mafanikio yanatafutwa sio kulalamika tu. Degree na phd mnaweza kugawiana lakini kichwani kama hamna kitu, mnajisumbua.