Recent content by Ziggy Sobotka

  1. Ziggy Sobotka

    JamiiForums Tanzania Botswana: Mahakama yahalalisha ushoga

    Afrika naona mdogo mdogo tunaingia huku kwenye tamaduni za magharibi za kushiriki mapenzi ya jinsia moja.
  2. Ziggy Sobotka

    JamiiForums Tanzania Tafadhali pita hapa na uweze kunisaidia katika hili ukijaalowa

    Mwanzo Mzuri jiongeze na Sofware hizi 3D Max na Cinema 4D zitakusaidia kwa project zingine kubwa na zina vitu vingi kwa project kubwa na kwa vile una Basic ya Blender hautapata tabu sana kuanza nazo ingawa ziko complicated kidogo hasa 3D Max.
  3. Ziggy Sobotka

    JamiiForums Tanzania Hollywood na kuutangaza ushoga wahamia kwa kasi katika cartoon za watoto

    Ukarasa mpya umefunguliwa katika kuutangaza na kusambaza habari za ushoga na wanaharakati wa kutetea mapenzi ya jinsia moja. Tunajua nguvu ya Hollywood katika ulimwengu wa sasa kwa jinsi wanavoshepu dunia yetu. Cartoon ya Arthur inayopendwa na sana na watoto karibu duniani kote imekuwa...
  4. Ziggy Sobotka

    JamiiForums Tanzania Kutongoza mwanamke bongo ni sawa na kufungua akaunti ya matumizi.

    is you still a fan? [emoji23][emoji23][emoji23]
  5. Ziggy Sobotka

    JamiiForums Tanzania Julian Assange: Mambo 10 aliyofichua kupitia wikileaks yaliyomfanya awe mwiba kwa mataifa ya magharibi na makampuni ya kimataifa

    Hahhaaaa Kikwete hakukoroma alipotezea kiutuzima naona Ndugai yeye hataki kabisa kuitwa hivo. Jamaa wa Panama nae alicheza sana huu ulimwengu unasiri nzito sana nyingi sana ukipata hata nafasi ya kuzijua 1/10 tuu utashangaa sana jinsi Dunia inayoendeshwa na kikundi cha watu wengine tunaishi kwa...
  6. Ziggy Sobotka

    JamiiForums Tanzania Julian Assange: Mambo 10 aliyofichua kupitia wikileaks yaliyomfanya awe mwiba kwa mataifa ya magharibi na makampuni ya kimataifa

    Assange naona bado anashikiliwa na vyombo vya usalama vya Uingereza. Manning alipunguziwa miaka ya gerezani na serikali ya Obama ila mwezi wa 3 mwaka huu alikamatwa tena sababu ya kukataa kumsnitch Assange kwenye Mahakama kuu ya Marekani.
  7. Ziggy Sobotka

    JamiiForums Tanzania Julian Assange: Mambo 10 aliyofichua kupitia wikileaks yaliyomfanya awe mwiba kwa mataifa ya magharibi na makampuni ya kimataifa

    Mkuu ukipata muda Download Documentary moja kumhusu amehojiwa huyo mwanamke na Assange mwenyewe, utaona kabisa ishu ilikuwa ya kusukwa flani ila jamaa ndio kawa victim. Hawa majasusi wa huu ulimwengu waache tuu wako tayari kuziba siri zao kwa namna yoyote ile. Nilivoicheki ile documentary...
  8. Ziggy Sobotka

    JamiiForums Tanzania Julian Assange: Mambo 10 aliyofichua kupitia wikileaks yaliyomfanya awe mwiba kwa mataifa ya magharibi na makampuni ya kimataifa

    1. RIPOTI YA TRAFIGURA. Mwaka 2009 website ya Wikileaks ilitoa ripoti kuhusu Kampuni kubwa ya mafuta ya Trafigura, wikileaks walifanikiwa kupata ripoti ya mwanasayansi John Minton iliyokuwa inasema uchafu wa kemikali za mafuta ambayo kampuni ya Trafigura imemwaga kwenye pwani ya nchi za Afrika...
  9. Ziggy Sobotka

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu hii ya Annex Mrina Arusha Miaka ya early 2000s Haijanitoka mpaka leo

    GuDume unavimbwanga vyako amaizing sana. Nimecheka mpaka nikaacha kula kwanza nisije paliwa bure. Sent from my iPhone using JamiiForums
  10. Ziggy Sobotka

    JamiiForums Tanzania Talaka Ghali zaidi Duniani (Jeff Benzos vs MacKenzie Bezos)

    [emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my iPhone using JamiiForums
  11. Ziggy Sobotka

    JamiiForums Tanzania Talaka Ghali zaidi Duniani (Jeff Benzos vs MacKenzie Bezos)

    Ndoa ya Billionea namba moja duniani mwanzilishi na mmiliki wa Kampuni ya mauzo mtandaoni ya Amazon Jeff Benzos na mkewe MacKenzie Bezos imeingia mchanga baada ya wanandoa hao kuamua kila mmoja afanye yake. Wameshafungua jarada Mahakamani kwaajili ya kuivunja rasmi ndio hiyo iliyodumu kwa miaka...
  12. Ziggy Sobotka

    JamiiForums Tanzania Nipsey Hussle: Nyota ya Afrika Mashariki kutoka katikati ya magenge ya kihalifu na kuangaza katika sanaa ya Muziki wa kufoka foka (Hip Hop)

    Style yake ni kali na nzuri na ni moja kati ya MC Bora kabisa waliowahi kutokea. Album ya Victory Lap 2018 ilikuwa katika tuzo za Grammy category ya Album bora ya Hip Hop ya mwaka. Kinachimfanya huyu jamaa asijulikane sana kazi zake ni sababu ya kukata kusaini na major labor yoyote ambazo huwa...
  13. Ziggy Sobotka

    JamiiForums Tanzania Nipsey Hussle: Nyota ya Afrika Mashariki kutoka katikati ya magenge ya kihalifu na kuangaza katika sanaa ya Muziki wa kufoka foka (Hip Hop)

    Si unajua tena Wahabeshi wajukuu wa Malkia wa Sheba Sent from my iPhone using JamiiForums
  14. Ziggy Sobotka

    JamiiForums Tanzania Nipsey Hussle: Nyota ya Afrika Mashariki kutoka katikati ya magenge ya kihalifu na kuangaza katika sanaa ya Muziki wa kufoka foka (Hip Hop)

    Ermias Davidson Asghedom kijana wa miaka (Agusti 15, 1985 – Mach 31, 2019), akijulikana kwa jina la sanaa kama Nipsey Hussle. Ni msanii wa sanaa ya muziki wa kufoka foka (Hip Hop) kutoka Calfonia, Marekani. Mtoto wa mhamiaji wa Kielitrea na mama mwenye asili ya Mmarekani mweusi pia Baba wa...
  15. Ziggy Sobotka

    JamiiForums Tanzania Nipsey Hussle: Nyota ya Afrika Mashariki kutoka katikati ya magenge ya kihalifu na kuangaza katika sanaa ya Muziki wa kufoka foka (Hip Hop).

Back
Top Bottom