Recent content by Zheneba

  1. Zheneba

    Ukosefu wa Maji Kahama TANESCO mnachangia

    Mm pia nimewaza sana hivi bili zetu zinaenda wap dah asante kwa taarifa
  2. Zheneba

    Ukosefu wa Maji Kahama TANESCO mnachangia

    Kweli eeh basi labda na sisi soon
  3. Zheneba

    Ukosefu wa Maji Kahama TANESCO mnachangia

    Leo ni siku ya nane hakuna maji Kahama kwa sababu TANESCO wamewakatia umeme, sisi wananchi tunalipa bili kwa wakati na usipolipa unakatiwa maji hivi hela zetu zinaenda wapi? Kama wangetenga kila mwezi walipe hata milioni 10 TANESCO sidhani kama wangekatiwa umeme. Hali ya vyoo hasa mahospitali...
  4. Zheneba

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kwa nje ya Mkoa wana mnara kweli
  5. Zheneba

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Line za smart zinapatkana WAP?!!
  6. Zheneba

    Naomba ushauri niache kazi au niendelee nayo

    Kazi inayokugombanisha na mumeo sio kazi mwambie akupe miez mitatu au sita upate mtaji auakupe mtaji
  7. Zheneba

    Sioni jina TAMISEMI wakati vibali vyote nilikamilisha

    Kuna file la ambao hawajafanikiwa kaangalie kama lipo maana wanaandka na sababu ya kutofanikiwa
  8. Zheneba

    Nagharamia video ya Alikiba

    Lol
  9. Zheneba

    Nagharamia video ya Alikiba

    Hashindani na D kila mmoja ana radha yake ambayo ni nzuri
  10. Zheneba

    Nagharamia video ya Alikiba

    Alikiba & Christian Bella - Nagharamia (Official …: Angalia video hii kwenye hiyo link ili kiba afikishe 1m view atoe ngoma nyingne support gud music
  11. Zheneba

    Kufukuza na kusimamisha kazi watumishi wa umma

    Kabsaa coz umebase kumfukuza kazi au kumsimamisha lakin changamoto za kazi hutatui watendaji wa kata na vijiji hawana ofisi wala nyumba za kuishi na mengineyo ni bora wakawasikiliza na wao kabla ya kumtimua kazi
  12. Zheneba

    Kufukuza na kusimamisha kazi watumishi wa umma

    Kwanza mm sioni kazi ya hivi vyama now nipo kazin 3yrs sijajiunga zaidi ya kupiga hela tu but naongelea watendaji wa kata na vijiji waliowekwa ndani jana kwa kosa la wakala kupandisha bei ya pembejeo za kilimo tofauti na bei elekezi
  13. Zheneba

    Kufukuza na kusimamisha kazi watumishi wa umma

    Na vyama vya wafanyakazi vipo kmya
Back
Top Bottom