Recent content by zeuss

  1. Z

    Napendekeza Serikali ya Tanzania ichapishe Noti za Shilingi Elfu (50,000) na Laki moja (100,000)

    Bora sana kama jitihada za Kiuchumi zingefayika kupunguza sifuri moja (eg. 10,000/= iwe 1,000/=). Nchi nyingi zimefanya hivyo na kufanikiwa.
  2. Z

    Busara itumike matumizi ya barabara za mwendo kasi. Kuzuia polisi na vyombo vya dola kunaweza kuleta athari katika kudhibiti uhalifu

    Kweli yanayojiri hivi sasa yanafurahisha. Hivi kweli majeshi yetu (JW, Polisi, Zimamoto na Uokoaji, MAGEREZA, Uhamiaji) yanapopita mabarabarani yakiwa kwenye dharura inabidi hivi sasa sisi wananchi tuwasimamishe na tusiwapishe hadi tutakapowahoji watufahamishe ni dharura gani wanayoenda...
  3. Z

    Polisi wetu hawana Maadili?

    Hamza kuua Polisi siyo hoja ya msingi kwenye hii mada. Mtu yeyote anaweza kuua kwani haya tumeyashuhudia sehemu mbalimbali hata huko Marekani. Hao Polisi wetu unaodai kuwa hawana mafunzo ya kutosha nao wanaweza kuua hata mara kumi ya hao. Tunachozungumzia hapa ni Weledi na Uadilifu wa Polisi...
  4. Z

    Polisi wetu hawana Maadili?

    Njia za kuwasiliana kwa Polisi zipo lukuki. Pamoja na Radio Calls pia mawasiliano hufanyika kwa njia ya simu. Haiwezekani kila askari Polisi kuwa na Radio Call kwa mawasiliano.
  5. Z

    Polisi wetu hawana Maadili?

    Tanzania tuna Polisi wapatao takribani 50,000. Kosa lolote linapofanywa na askari Polisi mmoja (kama kweli ni kosa) si busara kutoa blanket conclusions, yaani za kiujumla jumla. Polisi ni binadamu na wanatoka katika Jamii zetu. Ni watoto wetu, ni ni kaka na dada zetu na wengine ni baba na mama...
  6. Z

    Panya Road wapuuza karipio la Rais Samia, waendeleza uhalifu kama kawaida

    UHALIFU ni tabia ambayo inajengeka kutokana na mazingira, malezi, makuzi, maadili nk. Huwezi kuhalalisha uhalifu sababu ya wewe kuwa na njaa kali au ugumu wa maisha. Muhimu hapa ni kupewa elimu na kama itashindikana ni sheria kuchukua mkondo wake bila huruma. Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili...
  7. Z

    Ulinzi na Usalama - Polisi Wanaposhindwa Kutimiza Wajibu Wao

    Mkuu, umeanza vizuri hapo mwanzo lakini umeharibu katika mwendelezo. Suala la kitaaluma linahitaji fikra pevu na ukomavu wa mawazo, hoja na rai. Hekima kubwa, busara pamoja na maarifa hujenga hoja mujarabu. Jitahidi kujiweka mbali na mawazo mgando, mahaba na hisia binafsi za kisiasa (prejudiced...
  8. Z

    Panya Road wapuuza karipio la Rais Samia, waendeleza uhalifu kama kawaida

    Ili kuweza fanikisha mapambano dhidi ya hawa Panya Road lazima turudi katika taratibu za malezi ya miaka ya nyuma. Tunapaswa kuwajibika katika malezi ya watoto wetu kuanzia ngazi ya familia. Wazazi, walezi na ndugu tunapaswa kuwa karibu sana katika kuwalea vema kwa kuwafundisha tabia njema na...
  9. Z

    Panya Road wapuuza karipio la Rais Samia, waendeleza uhalifu kama kawaida

    "PANYA ROAD" ni watoto wetu wenyewe. Tunaishi nao tunakula nao na tunalala nao pamoja kwenye nyumba zetu. Na hata wanapoleta mavuno yao ya uhalifu tunashiriki nao katika kufaidi matunda ya uhalifu wao. Hivyo tusijitoe ufahamu kwa kuwa tunawajua vizuri. Dawa si kwaua kama baadhi wanavyodai. Hapo...
  10. Z

    Mtwara PCCB don't be overwhelmed by the Principal of Mtawanya College FDC

    Kiswahili ni lugha ya taifa na inaeleweka kiurahisi na wengi. Kwa nini ujichoshe kiasi hicho kutumia lugha ambayo hauna umahiri nayo. Umeshindwa kufikisha ujumbe sahihi uliokusudia sana sana tu umechosha na andiko lako. Safari nyingine Tumia Kiswahili au pata msaada wa wanaojua Kiingereza...
  11. Z

    Tanganyika hatuna chetu kwenye mapato na usimamizi wa utalii Zanzibar, hili swala la Mnaijeria linakuwaje la muungano?

    Mamlaka husika huko Zanzibar imeishalitolea taarifa suala hili hivyo tuache mihemko tusubiri taarifa ya uchunguzi ambayo inadaiwa tayari umeishaanza. Angalizo ni kwamba tuwe makini sana na uchunguzi wetu, tukitilia maanani timing ya haya malalamiko ambayo yanadaiwa kutokea Mwaka mzima uliopita...
  12. Z

    Watanzania tusithubutu kuingilia mambo ya akina Putin kwani ni ndugu yetu kabisa

    Hao siyo wanafunzi tena, wengi wao ni wahitimu na ni viongozi sehemu waliko. Kuhusu ubaguzi nadhani ungefanya utafiti kidogo tu kujua kuwa wengi wao ndoa zao ni za mchanganyiko wa rangi
  13. Z

    Nani kamfukuza Rais wetu Dar?

    Ni zaidi ya MIAKA 40. Kweli Tatizo nchi hii vijana wengi hawaijui historia ya nchi yao ikiwa ni pamoja na wewe. Kumradhi sana.!!!!!
  14. Z

    Taarifa kamili kuhusu adhabu ya Dk. Mwaka na wenzake hii hapa kuhusu tiba mbadala na dawa asili

    Mbona yule mwenye dawa alfulela ulela za kutibu kila ugonjwa duniani na kuwa na maduka ya dawa zake nchi nzima na matangazo lukuki; lakini mwenyewe alishindwa kujisaidia na akaanguka hadharani siku ya harusi yake hayumo? Hii siyo "double standard"?
Back
Top Bottom