Recent content by Zeus1

  1. Zeus1

    JamiiForums Tanzania Maisha yamenifundisha

    Umeongea point sana mkuu. Mda mwingine tusiogope kubadilika. Maisha lazima yaende tu,
  2. Zeus1

    JamiiForums Tanzania Could you have TZS 400 million into your VAT account right now and not even know it? This is the story of what happened to Grace.

    Yani tra wanafanya refund haraka na kirahisi hivyo. Sawa mkuu,mko vizuri
  3. Zeus1

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni viumbe hatari sana, nimemuona brother Mabeste chozi limetaka kunitoka

    Hayo unayosema hayawezi kujustfy huyo mwanamke kumfnyia jamaa ukatili w aina hiyo So kama ni wewe,una roho ngumu sana kama ya shetani.
  4. Zeus1

    JamiiForums Tanzania Ukienda nje ya hapa lazima BAN ikuhusu tu

    Toka nianze kutumia jf,sijawahi kupigwa ban. Naitaka ban kwa nguvu zote nijue experience yake
  5. Zeus1

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii, Sheikh wa Mkoa Dar Es Salaam kasingiziwa

    So kwahiyo video tu ndo inakuonesha kuwa hana hatia? Kukosea kitu sio kama ndo unakuwa shetani,unatubu kwa muumba wako maisha mengine yaendelee. Mnataka mumfanye mtu kama malaika kwamba hawezi kukosea.
  6. Zeus1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania President's Official Website Hacked, Attackers Demand Bitcoin Ransom

    Wakenya naona wako vizuri
  7. Zeus1

    JamiiForums Tanzania Inashangaza wanaoshambulia single mothers kumtetea Sheikh Walid kwa wivu mkubwa

    Kiukweli alichofanya sheikh sii sawa kabisa as a man. Sio wanaume wote wenye tabia kama hizo za sheikh,so mood ya dating isikate mrembo.
  8. Zeus1

    JamiiForums Tanzania Nani anaikumbuka THE PROMISE?

    The promise na the long wait ndo zilikuwa balaa sanaaa mkuu
  9. Zeus1

    JamiiForums Tanzania Nani anaikumbuka THE PROMISE?

    Walikuwa wale wale wa kwenye the promise,yani jericho na mwenzake kristen. Na the longwait walikuwa wale wale kwenye it might be you
  10. Zeus1

    JamiiForums Tanzania Nani anaikumbuka THE PROMISE?

    Hapana,nayo ilikuwa tbc. Baada ya the promise kuisha ndo ikaja the long wait. Star tv walikuja na it might be you na timeless
  11. Zeus1

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Madola yaipa Tanzania siku 30 Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria

    Hivi ni hatua gani wanaweza kuzichukua kuwajibisha serikali?
  12. Zeus1

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nilipokuwa nafanyia kazi wamenifanyia fitna nikafukuzwa

    Yani auze nyumba sababu ya chakula?
  13. Zeus1

    JamiiForums Tanzania Civilian-Coin akwepa ajali ya magari kiajabu

    Kisandu mwenyewe
  14. Zeus1

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    Zimefika 3?
Back
Top Bottom