Recent content by Zero One Two

 1. Z

  Manufaa ya Teknolojia ya Uhandisi Jeni (Genetically Modified Organism) kwa Maendeleo ya Kilimo

  Katika kitabu cha ‘Starved for Science, How Biotechnology is being kept out of Africa’ cha Mwandishi Robert Paarlberg kuna hoja nyingi juu ya kwanini wakulima wengi barani Afrika ni maskini kutokana na kupuuza teknolojia ya uhandisi Jeni. Katika nchi yetu, wakulima wetu na jamii imepotoshwa...
 2. Z

  Fiesta ya cloudsfm jijini Dar. Show ya Jidejaydee na vinega chini ya EA redio siku moja.

  Aaah! Haya mambo ya kutibuliana madili ni uchawi aaagrii.. Clouds nao wana waleta Chris Brown na Rihana tuone kama vinega na Jide wao kama watakusanya nyomi ya people
 3. Z

  Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

  Zitto kila la kheri. Kazi yako inaonekana ndani ya Tanzania, wanao kubeza ni wivu ndio unao wasumbua, wanatamani wafike hapo ulipo ila wamechemka.
 4. Z

  Wewe mwana JF una taaluma gani?

  Poa mkuu, japo naona umekutana na ukinzani wa hali ya juu... ila Wabongo tulivyo mkuu.. mie nauzoefu wa Network Power.. kila la kheri mkuu
 5. Z

  Bangi ihalalishwe

  Duh! hapo itabidi uwashirikishe na wanafunzi wakooo.. ili wote mue level moja :bange:
 6. Z

  Hata CHADEMA ni porojo tu...

  Haya wamekusikia, watayafanyia kazi kama walikua hawajaanza kuyafanyia kazi.. na kama wasipoyafanyia kazi basi nao ndio watakua walewale kasolo tarehe
 7. Z

  Mishahara mipya serikalini 2013

  Pumbav zao... Wangepunguza kodi wangekua wanafanya la maana, sio wanaoongeza mishahara huku kodi ipo juu, hapo wanamsaidiaje mfanyakazi au ndio danganya toto?
 8. Z

  Nacte aplication up to 9 sept.

  Source ya info zako?
 9. Z

  Wewe mwana JF una taaluma gani?

  Pamoja sana mkuu... Taaluma unapo pata kitengo hasa sehemu kama Bank na ukwa na juhudi na ukaonesha kujua vitu sio vitu vikujue wewe, una grow faster sana mkuu..... unaonaje ukiwa mkuu wa Idara ya Treasury au mmoja wa staff wa hiyo Idara? Pia ukitaka kupata nafasi kwa urahisi katika hako ka...
 10. Z

  Wewe mwana JF una taaluma gani?

  Mbeleni huko ukipiga Msc in Finance Management then ukapiga na AICAF itakua mzuka sanaaa, yani utakua bonge wa product.. ila uwe na juhudi za ziada
 11. Z

  Wewe mwana JF una taaluma gani?

  Safi sana mkuu, pia hongera.
 12. Z

  majambazi wapora mamilioni na madini katikati ya jiji arusha

  Poleni wana wa Arusha. Inabidi mamilionea na mabilionea walio baki wahamie Dar....
Top Bottom