DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,870
Bangi inasemwa tu vibaya lakini is very good kwa kweli, mi mwenyewe kabla sijaingia kuwapiga lecture vijana huwa lazima nipulize japo twenty minutes earlier...
Kwa matokeo ya 2012 sishangai!
Jamani ile tume ya waziri mkuu ilichemka kumbe source ni wanafunzi kufundishwa na wavuta bange!
Mimi ndio maana sipendi walimu na askari wote ni wavuta bangi ndio maana walifeli kama ROMA alivyosema "KIMBILIO LA WALIOFELI(WAVUTA BANGE)NI UALIMU NA UPOLISI"