Recent content by zero 123

  1. zero 123

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Rais wa Uswizi atumia Kiswahili kutanganza ujio wake Kenya

    Mchezo pendwa duniani ni mpira full stop!!, hiyo michezo unayo taja wwe ni kama mchezo wa mdako ,michezo yenyewe mna kashfa chungu nzima ya utumizi wa madawa ya kuongeza nguvu,,,Kenya mnajipendekeza sana kwa WA TZ
  2. zero 123

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Rais wa Uswizi atumia Kiswahili kutanganza ujio wake Kenya

  3. zero 123

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Rais wa Uswizi atumia Kiswahili kutanganza ujio wake Kenya

    Wapi WWE,sis Tanzania ndio ze best kwenye michezo hata wachezaji wenu wanajiskia fahari kuchezea simba na yanga,,,,,,si hilo Bali uwanja mkubwa na wakisasa wa mpira upo bongo,,na ndo maana Everton na litimu lenu libovu walicheza hapa,,,,.....azam2_gor mavi0,,,,,,,
  4. zero 123

    JamiiForums Perez ni mzee wa black deals, kuna alichopanga subirini suprise

    Ahahahah umenifurahisha japo umedandia mada
  5. zero 123

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Tanzania to be the first country to own A220-300 in Africa

    Ahahahah kama umenitukana na wwe hivo hivo
  6. zero 123

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Rais wa Uswizi atumia Kiswahili kutanganza ujio wake Kenya

    Mfyuuuuu...aisee sjaona watu wajuaj dunian kama RAIA wa kenya, kwanza hawajui kusifia wao ni kuponda tuu,na ndo maana tunawaburuza kila idara kwenye mziki ,michezo nk...
  7. zero 123

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Tanzania to be the first country to own A220-300 in Africa

    Ahahahah, mhmm hichi ni kajuluo au kusungu??
  8. zero 123

    JamiiForums KUBADILI TAHASUSI

    Sawa mkuu,
  9. zero 123

    JamiiForums KUBADILI TAHASUSI

    Sawa mkuu
  10. zero 123

    JamiiForums Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Aya na mm nataka likes
  11. zero 123

    JamiiForums KUBADILI TAHASUSI

    Kwa kwel uwezo wa kifedha ni mdogo mkuu, itambidi akasome hiyo hiyo
  12. zero 123

    JamiiForums KUBADILI TAHASUSI

    Nasubir ushaur wenu wakuu
  13. zero 123

    JamiiForums KUBADILI TAHASUSI

    Wakuu naomben mnsaidie katika hili,Nina mdogo wangu katika masomo ya sayansi ana BCC na D ya mathematic, kachaguliwa HGE ,ndoto yake ni kusoma masomo ya sayansi hasa PCB ,je kwa ufaulu wake anaweza kukubaliwa kubadlshiwa tahasusi....ahsanten sana
Back
Top Bottom