Rais wa Uswizi atumia Kiswahili kutanganza ujio wake Kenya

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,756
48,401
Alain Berset‏Verified account @alain_berset 13h13 hours ago
Mimi rais wa Uswizi naja kutembea nchi ya Jamhuri ya [HASHTAG]#Kenya[/HASHTAG] kuanzia siku ya jumapili hadi jumanne wiki ijayo
1f1f0-1f1ea.png
1f1e8-1f1ed.png
Naja nikijua kuwa Kenya ina sifa ya kuwa nchi nzuri ilio na watu wakarimu sana. Natarajia kuwa na mazungumzo mazuri @presidentKE @UKenyatta ninapowasili [HASHTAG]#Nairobi[/HASHTAG] pic.twitter.com/PlCiBu3Wc7

Alain Berset (@alain_berset) | Twitter
 
Mbona hata Trump alitumia Kisukuma kusema Shithole.. Na hatukusema kitu.
 
Asante sana Mwalimu Nyerere.
Kama sio Juhudi zako Mwalimu Nyerere Kiswahili kingeshakufa,
Maana kuna vipofu wengine waliona Kingereza ni Bora kuliko Kiswahili lakini Sasa Mungu anafungua macho hata wale vipofu wanaona mwanga kwa Maono yako ya Mbali, Kiswahili kitaenea Dunia nzima na sisi waswahili tutakuwa ni miongoni mwa Identities Duniani.
Upumzike kwa Amani my best Leader of all time.
 
Alain Berset‏Verified account @alain_berset 13h13 hours ago
Mimi rais wa Uswizi naja kutembea nchi ya Jamhuri ya [HASHTAG]#Kenya[/HASHTAG] kuanzia siku ya jumapili hadi jumanne wiki ijayo
1f1f0-1f1ea.png
1f1e8-1f1ed.png
Naja nikijua kuwa Kenya ina sifa ya kuwa nchi nzuri ilio na watu wakarimu sana. Natarajia kuwa na mazungumzo mazuri @presidentKE @UKenyatta ninapowasili [HASHTAG]#Nairobi[/HASHTAG] pic.twitter.com/PlCiBu3Wc7

Alain Berset (@alain_berset) | Twitter

Tatizo liko wapi? Kiswahili ni lugha ya Taifa ya Kenya sasa ulitaka atumie Kibalingo county?
Kuna watu wengi Kenya Kiswahili ni lugha yao ya kwanza sioni tatizo hapo hata ingekuwa ni Kongo Mashariki pia angetumia Kiswahili kwani ndo lugha ya watu wa Kongo Mashariki!
 
Asante sana Mwalimu Nyerere.
Kama sio Juhudi zako Mwalimu Nyerere Kiswahili kingeshakufa,
Maana kuna vipofu wengine waliona Kingereza ni Bora kuliko Kiswahili lakini Sasa Mungu anafungua macho hata wale vipofu wanaona mwanga kwa Maono yako ya Mbali, Kiswahili kitaenea Dunia nzima na sisi waswahili tutakuwa ni miongoni mwa Identities Duniani.
Upumzike kwa Amani my best Leader of all time.
R.I.P mwalimu Julius kambarage nyerere
ni miongoni mwa watu wa ajabu sana waliowahi kutokea AFRIKA.
 
0A1A112C-BA90-40B4-9FE7-9C1A935BA420.jpeg
Asante sana Mwalimu Nyerere.
Kama sio Juhudi zako Mwalimu Nyerere Kiswahili kingeshakufa,
Maana kuna vipofu wengine waliona Kingereza ni Bora kuliko Kiswahili lakini Sasa Mungu anafungua macho hata wale vipofu wanaona mwanga kwa Maono yako ya Mbali, Kiswahili kitaenea Dunia nzima na sisi waswahili tutakuwa ni miongoni mwa Identities Duniani.
Upumzike kwa Amani my best Leader of all time.
Well said
 
Kwetu ni miaka mitatu sasa tunatembelewa na maraisi wa nchi jirani tu amba hatusaidiani chochote.
Screenshot_20180708-111202.jpg
 
Tatizo liko wapi? Kiswahili ni lugha ya Taifa ya Kenya sasa ulitaka atumie Kibalingo county?
Kuna watu wengi Kenya Kiswahili ni lugha yao ya kwanza sioni tatizo hapo hata ingekuwa ni Kongo Mashariki pia angetumia Kiswahili kwani ndo lugha ya watu wa Kongo Mashariki!

Wapi nimesema kuna tatizo, lengo ni kuonyesha jinsi Kenya imehusika pakubwa kwenye ufanikishaji wa Kiswahili kutambulika duniani.
Sisi huwa tunaongea na kuhamasisha uwezo wa kuongea lugha nyingi zikiwemo zetu za asili, na pia Kiswahili na Kingereza, huwa hatujafugwa kwenye zizi moja.
 
Siku hizi bongo mabalozi wote wa nchi za nje wanatumia kiswahili kwenye hotuba zao, imekua kawaida sasa...
 
Asante sana Mwalimu Nyerere.
Kama sio Juhudi zako Mwalimu Nyerere Kiswahili kingeshakufa,
Maana kuna vipofu wengine waliona Kingereza ni Bora kuliko Kiswahili lakini Sasa Mungu anafungua macho hata wale vipofu wanaona mwanga kwa Maono yako ya Mbali, Kiswahili kitaenea Dunia nzima na sisi waswahili tutakuwa ni miongoni mwa Identities Duniani.
Upumzike kwa Amani my best Leader of all time.
Wewe ni mswahili ama wewe ni msukuma?
 
Tatizo liko wapi? Kiswahili ni lugha ya Taifa ya Kenya sasa ulitaka atumie Kibalingo county?
Kuna watu wengi Kenya Kiswahili ni lugha yao ya kwanza sioni tatizo hapo hata ingekuwa ni Kongo Mashariki pia angetumia Kiswahili kwani ndo lugha ya watu wa Kongo Mashariki!
Inakuwakuwaje watu wa Kongo pia wanaongea Kiswahili? Au Tanzania ina mipaka (border) na Kongo?
 
Siyo Kongo yote bali ni Kongo Mashariki mfano mji kama Goma Lugha yao ni Kiswahili lkn ukiingia Kongo ndani huko Kinshasa hawajui Kiswahili, hivyo ni sehemu tu ya Kongo iliyo karibu yetu yaani Mashariki mwa Kongo!
 
Asante sana Mwalimu Nyerere.
Kama sio Juhudi zako Mwalimu Nyerere Kiswahili kingeshakufa,
Maana kuna vipofu wengine waliona Kingereza ni Bora kuliko Kiswahili lakini Sasa Mungu anafungua macho hata wale vipofu wanaona mwanga kwa Maono yako ya Mbali, Kiswahili kitaenea Dunia nzima na sisi waswahili tutakuwa ni miongoni mwa Identities Duniani.
Upumzike kwa Amani my best Leader of all time.
Nyerere anajulikana huko ujamaa ilhali Tanzania kwa wengi(ulimwengu) wanafikiri ni kijiji tu.
 
pumbafuu sana huyo mswiziii...anawafanya waswahili wavimbe vichwa bureee....kienglish ndo mambo yoteee!!!
 
Mfyuuuuu...aisee sjaona watu wajuaj dunian kama RAIA wa kenya, kwanza hawajui kusifia wao ni kuponda tuu,na ndo maana tunawaburuza kila idara kwenye mziki ,michezo nk...
 
Back
Top Bottom