Rais wa Uswizi atumia Kiswahili kutanganza ujio wake Kenya

Mfyuuuuu...aisee sjaona watu wajuaj dunian kama RAIA wa kenya, kwanza hawajui kusifia wao ni kuponda tuu,na ndo maana tunawaburuza kila idara kwenye mziki ,michezo nk...
Eti michezo? Hii hii Tanzania??? Chunga sana usije ukatafuna blanketi zote na godoro, hii ndoto yako ni nzito sana buana!
 
Wapi WWE,sis Tanzania ndio ze best kwenye michezo hata wachezaji wenu wanajiskia fahari kuchezea simba na yanga,,,,,,si hilo Bali uwanja mkubwa na wakisasa wa mpira upo bongo,,na ndo maana Everton na litimu lenu libovu walicheza hapa,,,,.....azam2_gor mavi0,,,,,,,
 
Kumbe unaongea kuhusu hii michezo ya hapa hapa Longido? Ikija kwenye michezo ya maana kimataifa jina la Tz huwa halitajwi. Raga, Voliboli, Riadha n.k n.k. Tanzania na michezo ni kama paka na maji. Huwa wanapatana tu pale paka anapoanza kujilamba lamba. :D
 
Mchezo pendwa duniani ni mpira full stop!!, hiyo michezo unayo taja wwe ni kama mchezo wa mdako ,michezo yenyewe mna kashfa chungu nzima ya utumizi wa madawa ya kuongeza nguvu,,,Kenya mnajipendekeza sana kwa WA TZ
 
MK254 Mh. Rais wa Uswizi yupo Zanzibar kwa Waswahili asilia akila rojo kwa pweza. Huko Nrb. alikuja kutia sahihi akasepa.
 
Mchezo pendwa duniani ni mpira full stop!!, hiyo michezo unayo taja wwe ni kama mchezo wa mdako ,michezo yenyewe mna kashfa chungu nzima ya utumizi wa madawa ya kuongeza nguvu,,,Kenya mnajipendekeza sana kwa WA TZ
Haina presha jombaa.
 
Back
Top Bottom