Nasubir ushaur wenu wakuuWakuu naomben mnsaidie katika hili,Nina mdogo wangu katika masomo ya sayansi ana BCC na D ya mathematic, kachaguliwa HGE ,ndoto yake ni kusoma masomo ya sayansi hasa PCB ,je kwa ufaulu wake anaweza kukubaliwa kubadlshiwa tahasusi....ahsanten sana
ndoto huathiriwa na kipatoKwa kwel uwezo wa kifedha ni mdogo mkuu, itambidi akasome hiyo hiyo
Jaribu kuuliza hapo hapo shuleni kama wanatoa tahasusi hiyo (PCB), halafu ndio uulize kama nafasi ya kubadiri tahasusi ya HGE. Ukifanikiwa utujuze.Kwa kwel uwezo wa kifedha ni mdogo mkuu, itambidi akasome hiyo hiyo