Recent content by ZENITH

  1. ZENITH

    JamiiForums Tanzania Marekani single mothers wanalipwa milioni 2.5 kwa mwezi, hela ya kujikimu, Tanzania tunawapiga vita

    Ila ukweli usemwe,kwa wanawake wa kibongo watafanya makusudi ili walipwe mwisho wa mwezi,hivi unazijua akili za mtu mweusi??
  2. ZENITH

    JamiiForums Tanzania Pamoja na ubingwa wa ndondokela, Arsenal inapaswa kumfukuza Mikel Arteta

    Hata Man City walibeba makombe yaliyopita kwasababu ya Arsenal kusua sua!!
  3. ZENITH

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na mzee wa miaka 102, bado ana nguvu za kufanya shughuli yoyote ambayo kijana anafanya

    Nakuunga mkono,Mimi ni shahidi wa hili,yaani nilipambana mno kupunguza manyama zembe ya mwili wangu,lakini tangu nilipoanza utaratibu wa kula mmoja wa maana kwa siku,nikafutilia mbali masuala ya kifungua kinywa,mwili wangu umepungua sana,tena bila hata mazoezi. Nilikuwa navaa suruali kiuno...
  4. ZENITH

    JamiiForums Tanzania Mexime na Nizar wana u-Yanga? Sababu ya kufukuzwa yajulikana

    Zingatia mechi kabla ya Yanga,Mbeya City alifungwa ngapi na Singida?
  5. ZENITH

    JamiiForums Tanzania Tuambizane kiume, je ni sahihi kumrudia na kumuoa mwanamke mliyewahi kuachana baada ya yeye kuzaa na mtu mwingine?

    Ushaur Ushauri mzuri sana na umeandikwa kwa mpangilio na utulivu mkubwa,Good,ila Kuna kitu inabidi wanaume tukijue,tabia ya uliyomkuta nayo mwanamke in her early twenties,hiyo ndo tabia yake halisi(dominant behaviour).Kumbuka pia wanawake kama huyu wakishafika katika umri wa miaka 30(her...
  6. ZENITH

    JamiiForums Tanzania Upwiru umekuwa janga kubwa kwa wanawake

    Kabisa,huyu hajui.Hao wanaokaa uchi mitandaoni,hawasumbuliwi na upwiru,ni matangazo ya biashara.Hao wake za watu wanaodiriki mpaka kuhonga,sio upwiru,ni Visasi kwa waume zao ambao pia wamewasaliti na kutokuwapa muda,hivyo anatafuta mtu mwingine ili kujipandisha thamani na yeye aonekane kwamba...
  7. ZENITH

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kwahiyo Ili Kwa usalama wa Afya yake unamshauri ahamie Man united,au sio?
  8. ZENITH

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Wakuu msaada link ku Livestream hii gemu
  9. ZENITH

    JamiiForums Tanzania Nahisi mume wangu ana watoto wa nje ya ndoa

    Yeye amezaa kawaacha nje hukooo,na wewe pia uzae ukawaache nje huko huko!
  10. ZENITH

    JamiiForums Tanzania Vijana wa sasa hawajui kusex

    Kuna dada mmoja aliongea kule Twitter(X), kwamba mwanamke kama anakupenda na kakuweka Moyoni na akilini mwake pia, kitendo Cha wewe kumgusia Nia ya tendo, tayari ashalowa. Na Mimi hili silipingi,Nina ushuhuda nalo. Kuna wanawake nilishawahi ku date nao,yaani huna haja ya kumuandaa Wala...
  11. ZENITH

    JamiiForums Tanzania Nimelidondosha Bumunda jingine leo. Sitaki ujinga

    Anyway,labda mimi Sina Hela,300k yote hiyo!!?
  12. ZENITH

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  13. ZENITH

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Back
Top Bottom