Recent content by zendindi

  1. zendindi

    JamiiForums Tanzania Single fathers and mothers njooni tujenge familia

    Sina mtoto Naomba kuwa mama kwa huyo mtoto
  2. zendindi

    JamiiForums Tanzania Wale wote ambao ndoa zenu 'hazijajibu', leteni machungu yenu hapa tuwafariji!

    Mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu, hivo basi tumshukuru kwa kila jambo
  3. zendindi

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wakipita mobile dictionary yenye pronounction

    Naomba msaada wakipita mobile dictionary yenye pronounction
  4. zendindi

    JamiiForums Tanzania Mahusiano vs mawasiliano

    Bora Kama umejijua wewe ni mpuzi
  5. zendindi

    JamiiForums Tanzania Mahusiano vs mawasiliano

    Mimi mwenywe Nimepata ganzi
  6. zendindi

    JamiiForums Tanzania Mahusiano vs mawasiliano

    Naanza sasa kujiongeza
  7. zendindi

    JamiiForums Tanzania Mahusiano vs mawasiliano

    Itakuaje pale mpenzi wako anapokupigia simu Mara moja kwa wiki, na ikipiga simu haipokelewi na akipokea mnasalimiana tu Alafu atakwambia atakupigia badae, na hapigi pia unamkuta online whatsp ukimtext anafunga data, unapomuuliza Kama kweli a nakupenda ana sema ndio. Je huu ni uungwana?
  8. zendindi

    JamiiForums Tanzania Shule gani nzuri ya A-level kwa Dar, Arusha au Moshi?

    Asanteni nimeelewa
  9. zendindi

    JamiiForums Tanzania Shule gani nzuri ya A-level kwa Dar, Arusha au Moshi?

    Habari zenu wa uungwana, Naomba Kujua nina mdogo angu kumalizia 4m4 Kenya shule za Kata Sasa tunataka aje kusomea 4m5 huku tzd, itakuaje na nikivipi na shule ipi nzuri kwa Dar, moshi na arusha? Asanteni na Subiri ushauri, kama hujaguswa maliza mwaka salama
  10. zendindi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke asiyezaa au asiyetaka kuzaa

    Hujafa hujaumbika
  11. zendindi

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume "aibu yako aibu yangu"

    Ndio maana nimesema kabla ili atake nioa alijue mapema
  12. zendindi

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume "aibu yako aibu yangu"

    Bado
  13. zendindi

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume "aibu yako aibu yangu"

    Upendo uko moyoni na sio usoni
  14. zendindi

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume "aibu yako aibu yangu"

    Ni meamini kua sisi wanawake wenye matatizo ya uzazi ni vigimu kujificha lakini mwanaume ni rahisi sana kwa vile anaweza kilea mimba ya mwanume mwingine na mtoto akawa wake ,ila kwa mwanamke atasumangwa na kufukuzwa kama mnyama
  15. zendindi

    JamiiForums Tanzania Najua ipo siku nitakutana na tulizo la moyo

    Ngoja tuisubiri maana hata mimi naingoja kwa uwezo wa Mungu.
Back
Top Bottom