Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,261
- 18,266
Mapenzi Kichaa,
Unachokikata mwenzako ndio kinamnyima usingizi.
Unachokikata mwenzako ndio kinamnyima usingizi.
Maamuzi kama hayo huaga yanalinda hishma kwa mwanaume asiyeweza kutungisha mimba.Haya ndio yanaitwa 'maamuzi magumu'.
Wenye matatizo ya uzazi baadhi hawazai kabjsaWanawake wote wanazaa. Ila baadhi wana matatizo ya uzazi.
Asiyezaa lakini ana piga mzigoKuna thread ya dada anatafufa mwanaume asiezaa
Hakika, hapo inakua no lawama 0-0Maamuzi kama hayo huaga yanalinda hishma kwa mwanaume asiyeweza kutungisha mimba.
Nina watoto wawili ambao ninaona kabisa wananitosha kwa ulimwengu huu. So nimeamua kutafuta mwanamke ambaye hataweza kuzaa tena ili kuepusha matumizi ya madawa ya uzazi wa mpango ambayo yanaonekana kuwa tatizo kubwaKwan wew huzai pia?
Tatizo Ni kwamba kwenye hayo mazuri Kuna mabaya piaKwanini huwa hamfikirii mazuri?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 28. Nahitaji mwanamke mwenye matatizo ya kizazi yaani ambaye hawezi kupata mtoto au amabye ana kizazi ila hatarajii wala hataki kupata mtoto niweze kuwa naye kwenye mahusiano ya mapenzi na baadae tuje kuishi mume na mke.
Sichagui kiwango cha elimu wala umri wala aina ya kazi. Ila kikubwa awe mtu wa kujituma na asiyetegemea kila kitu kutoka kwa mwanaume.
Nipo serious juu ya hili. Kama upo tayar karibu PM
Hujafa hujaumbikaMakubwa!![emoji30] [emoji115].......Mje kuishi kama mume na mke na mwanamke ambae hawezi kuzaa!![emoji1]
Ni kweli mkuu hujafa hujaumbika ila kwa sababu jamaa yeye mwenyewe anataka kuoa mtu asiweza kuzaa ni sawa tu ila kama mtu ni mzima kuoa mtu ambae siyo mzima inahitaji moyo wa chuma!!Hujafa hujaumbika
Nahisi haujaelewa nilicho ki post,mbona unakurupuka ndugu?au ni miongoni wa wale waliokosa mkopo toka Loarn Board,au mzee wa kusitishiwa ajira mpya,tuliza akili kijanaSasa hapo tatizo mwanamke au wewe?? Mkulima unamwaga mbolea kwenye shamba halafu unasema mimea haioti?? Wewe sio mkulima mzuri kajifunze tena.😉😛
Sawa bandu bandu sasa uko iko dengu mimi iko njaa hapa kidogo kama nawesa kuja kula kwako.[emoji6] [emoji106]Nahisi haujaelewa nilicho ki post,mbona unakurupuka ndugu?au ni miongoni wa wale waliokosa mkopo toka Loarn Board,au mzee wa kusitishiwa ajira mpya,tuliza akili kijana