Natafuta mume "aibu yako aibu yangu"

Natafuta mume "aibu yako aibu yangu"

Nashindwa kuelewa my dear kama upon disparate kiasi hiki?anyway ni mtazamo siwezi jus ni jinsi gani umehangaika kwa hili ila kumbuka mume mwema hutuka kwa mungu wakati ukifika utaolewa tu.otherwise its need busara.wanaume fursa hii ila please msipite kwa kumjaribu huyu Dada wala kimkejeli msaidieni kimawazo na hitaji lake.all the best
Mmmmmmh we mdada unabusara, hebu Ni PM Mara moja nikuambie kityu
 
Ni meamini kua sisi wanawake wenye matatizo ya uzazi ni vigimu kujificha lakini mwanaume ni rahisi sana kwa vile anaweza kilea mimba ya mwanume mwingine na mtoto akawa wake ,ila kwa mwanamke atasumangwa na kufukuzwa kama mnyama
 
Mimi ni mdada, miaka 30 nashukuru Mungu nimeajiriwa serikalini, si mrefu simfupi maji ya kunde.

Natafuta mume mwenye sifa zifwatazo.
_Shida ya uzazi,
_Umri 30 _40
_Mwajiriwa au mjasiriamali, mkristo, tayari kwa ndoa na kupima VVU .

Kwa maelezo zaidi PM
[emoji121]
WEKA PICHA KWANZA MKUU.
 
pole bibie.. hilo tatizo la uzazi lisikufanye desperate kiasi hicho.. hata ukiolewa utaishi kwa kujishtukia sana.
 
Mimi ni mdada, miaka 30 nashukuru Mungu nimeajiriwa serikalini, si mrefu simfupi maji ya kunde.

Natafuta mume mwenye sifa zifwatazo.
_Shida ya uzazi,
_Umri 30 _40
_Mwajiriwa au mjasiriamali, mkristo, tayari kwa ndoa na kupima VVU .

Kwa maelezo zaidi PM
Mwenzako Happymsafi hamtaki mume wake anamwita Jitu, sasa nakushauri nenda kamchukue.
 
pole bibie.. hilo tatizo la uzazi lisikufanye desperate kiasi hicho.. hata ukiolewa utaishi kwa kujishtukia sana.
Ndio maana nimesema kabla ili atake nioa alijue mapema
 
Mimi ni mdada, miaka 30 nashukuru Mungu nimeajiriwa serikalini, si mrefu simfupi maji ya kunde.

Natafuta mume mwenye sifa zifwatazo.
_Shida ya uzazi,
_Umri 30 _40
_Mwajiriwa au mjasiriamali, mkristo, tayari kwa ndoa na kupima VVU .

Kwa maelezo zaidi PM
Mimi Nina miaka 36 nitafikiriwa?
 
Mimi ni mdada, miaka 30 nashukuru Mungu nimeajiriwa serikalini, si mrefu simfupi maji ya kunde.

Natafuta mume mwenye sifa zifwatazo.
_Shida ya uzazi,
_Umri 30 _40
_Mwajiriwa au mjasiriamali, mkristo, tayari kwa ndoa na kupima VVU .

Kwa maelezo zaidi PM
Nipm please
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom