ndugu nawapasulia naona umetoa tuhuma zilizokufanya kwann unataka kuhama chadema,mm ni mwana chadema nitalifanyia uchunguzi nikigundua kuwa na ukweli nitahama,na jamaniiii mwenzetu katoa mtazamo wake haina haja ya kumtukana bila sababu kiama imekuuma pia fanya uchunguzi chukua hatua.
jamaniiiiii eeeh,jamaaaa sikashasema?apendezwi na ukabila na uendeshaji mbovu wa chama na maadili mabovu ya viongozi,mi naona hii ni challenge kwenu mnaojiita wanachadema,embu chakachueni hayo mawazo yake mwisho wa siku mtakuja kujuta bureeeeeeeee na mda utakuwa umeisha.embu tafakarini kama...
chama cha mapinduzi ni chama amabacho kimejipanga vizuri kuweza kuhakikisha kinapata ushindi wa kishindo, kwani ndio chama chenye Sura nzuri ukilinganisha na cha ma kingine chochote kinachoshiriki uchaguzi wa mwaka huu 2010.
Sera za chama cha mapinduzi zimejikita vizuri katika...
hapo sasa,serikali imejitadi sana katika kuanzisha vyuo vikuu,mtu akifika hapo inamaana kuwa ana upewo na utashi wa kutosha juu ya elimu,maswala ya spoon fiding tuwaachie ly,tutafute material kupitia njia mbalambali mbona net zipo.
sidhani kama kifupi cha jina lake linaweza kukufanya wewe kumuona hafai kwa kudai kuwa anajifananisha na kambarage nadhani cha kuzingatia ni mambo aliyoyafanya na si kifuppi cha jina lake kama unavyo fikiria wewe< TAFAKARI CHUKUA HATUA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.