Elections 2010 Nasita kumwita jina la JK

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,668
13,237
Ndugu zanguni tangu kikwete alipoanza kung'ang'ania kuingia ikulu na kuomba sana awe anaitwa JK (Jakaya Mrisho Kikwete) badala ya JM yaani alidhamilia kuwasahaulisha watu ile imani ya JK (Julius Kambarage Nyerere) halisi kuwa nafasi ya urais haimfai....
Mimi binafsi huwa nashindwa kumuita JK kwani huyu JM hafikii wala hana dalili za kuweza kufikia japo robo ya JK.
 
sidhani kama kifupi cha jina lake linaweza kukufanya wewe kumuona hafai kwa kudai kuwa anajifananisha na kambarage nadhani cha kuzingatia ni mambo aliyoyafanya na si kifuppi cha jina lake kama unavyo fikiria wewe< TAFAKARI CHUKUA HATUA.
 
Ndugu zanguni tangu kikwete alipoanza kung'ang'ania kuingia ikulu na kuomba sana awe anaitwa JK (Jakaya Mrisho Kikwete) badala ya JM yaani alidhamilia kuwasahaulisha watu ile imani ya JK (Julius Kambarage Nyerere) halisi kuwa nafasi ya urais haimfai....
Mimi binafsi huwa nashindwa kumuita JK kwani huyu JM hafikii wala hana dalili za kuweza kufikia japo robo .

kumlinganisha julias kambarage nyerere na jakaya mrisho kikwete ni kufanya makosa kwa sababu kila mmoja ametawala nchi kwa wakati tofauti na challenges alizokuwa anakabiliana nazo nyerere kwa wakati huo ni tofauti na za sasa ambazo kikwete anakabiliana nazo.Hivyo,nyerere alikuwa kiongozi mzuri kwa wakati huo(enzi hizo) na kikwete ni kiongozi mzuri kwa sasa kutokana na hali halisi ya mabadiliko ya dunia
 
kweli mkuu ni kmiongozi mzuri kwa sura eeeeeee..........TUKO PAMOJA.....tunachoangalia ni je maamuzi anayoyafanya sasa JM angekuwa JK angefanyeje?...kwanza jk asingeweza kuwasamehe wezi wa mali....
piliu asingeweza kuwa na orodha ya wala nchi alafu ikawa siri yake....
....
.

Nchi yeyote duniani huendeshwa na taasisi zake mbalimbali na siyo Rais pekeyake,kutokana na ukweli huo tunapaswa kutoa lawama zetu kwanza kwa taasisi husika na siyo kwa Rais kikwete mojakwamoja. Rais ana mambo mengi ya kufanya kama kiongozi,tunapaswa kumsaidia pale ambapo tunaona kuna mapungufu na siyo kuelekeza shutuma tu dhidi yake.
 
Nyerere ndie aliekosea kujiita JK, angejiita JN (Julies Nyerere)

Kikwete nisawa kabisa kuitwa JK, JK imekusanya jina lake na babu yke ambayo ni surname yake, nyerere surename yake sio Kambarage bali ni Nyerere, kwa hiyo yeye Nyerere angeitwa JN Julius Nyerere na kikwete lazima aitwe JK(Jakaya Kikwete)

Nyie wanamtandao wa kanisa la chadema mmekuwa kama mavuvuzela mpaka mnatia kichefuchefu sasa, mnajilazimisha kumfagilia mchungaji wenu awe Raisi wa tz kweli nyie ni kondoo mliopotea, Mchungaji Slaa hamuwezi Kiwete na Lipumba kwa lolote, Education nakadhalika
 
sidhani kama kifupi cha jina lake linaweza kukufanya wewe kumuona hafai kwa kudai kuwa anajifananisha na kambarage nadhani cha kuzingatia ni mambo aliyoyafanya na si kifuppi cha jina lake kama unavyo fikiria wewe< TAFAKARI CHUKUA HATUA.

hatua gani? umeielewa mada kweli? ene wei, karibu ndani ya mjengo
 
"...Nyie wanamtandao wa kanisa la chadema mmekuwa kama mavuvuzela mpaka mnatia kichefuchefu sasa, mnajilazimisha kumfagilia mchungaji wenu awe Raisi wa tz kweli nyie ni kondoo mliopotea, Mchungaji Slaa hamuwezi Kiwete na Lipumba kwa lolote, Education nakadhalika.." by Bull

na wewe! unaweza kweli ukawalinganisha wote watatu kwa kigezo cha elimu?

mnamwonea sana huyo Slaa, kwa kuwa tu ana sera za kutisha, majambazi, fisadi, wavivu, walaghai wote roho juu! mnasahau kwa siasa ni dume tangu enzi akiwa Roma, alikuwa kada wa CCM ENZI HIZO 1981!1!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom