Recent content by zeddyjb

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Zitto: Serikali imekopa dola Mil 500 mwezi August 2017 kimya kimya na wanafanya siri umma usijue

    Like that hapo hachomoki mtu kwa madeni haya bora kutokuzaa sasa maana tutawapa shida watoto wetu kulipa madeni ambayo wao haya wahusu, bado wengine tunadaiwa mikopo na loan bord, deni la taifa linazidi kukua sijui mwisho wake niupi, mm kwakweli nafunga kizazi sitaki kuzaa[emoji27] [emoji27]...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi mbalimbali kuhusu mwanafunzi atakayepata mimba

    Ikiwa mwanafunzi wa kike ndo kamrubuni mwanaume kisha huyo wa kike akapata mimba anae stahili adhabu hapo ninani???
  3. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wakenya mnapenda sifa duh vijengo vyenyewe mnavga picha usiku vinawaka waka ndo mnatutumia vyenywewe vifup kama hostel za wanafunzi halafu mnasema Nairobi pzur kuliko bongo thubutu...
  4. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Huwez elewa kitu any coz ulipiga zero chaliii[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri tafadhali; Mpenzi amebadilika na nashindwa kumuacha

    Mwambie yy akuache kama ww huwez
  6. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    U Kenya's people can u show as ua slam place I know u hv a badest slam in east Africa
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Sio kila anaepinga yanayofanywa na serikali ya awamu ya 5 humu JF ni Mwanachadema

    Watanzania sisi wagum kinoma kuelewa kutokuwa na chama haimaanishi huwez piga kura unampigie atakae kuvutia kwa Sera zake jaman duh, ndo maana tunaibiwa kila siku
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Malizia methali hii...

    Anapanda mtungi
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Kama haya matukio ya Makonda yangekuwa ni Movie, Je ingepewa jina Gani?

    Anaconda
  10. Z

    JamiiForums Tanzania 'Safari ya Simiyu' kuna mengi ya kujifunza hapa

    Tatizo ww mtoa maada huelewi na huyo mwenzio wakukurupuka, wananchi wanawezaje kupa pesa ikiwa pesa ambayo watu wasimiyu wangepata kwa kuendesha maisha hawata ipata maisha yataendelea kuwa magum hvo hvo, maana watu wangeenda pale simiyu eangehitaji kula, kulala, kunywa, mafuta, usafiri walau...
Back
Top Bottom