Recent content by zeddy peter

  1. zeddy peter

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya laki 4 na nusu ni laptop gani itafaa kwa matumizi ya chuo

    Call this no.0752510755 kwa laptop nzuri
  2. zeddy peter

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Lema kafiwa na mama Mkwe wake

    Pole..but ni msiba Kama wa mtu yoyote..sio msiba mkubwa..
  3. zeddy peter

    JamiiForums Tanzania Wanawake hawaogopi kabisa UKIMWI?

    Jinga sana huyo bwana..eti nikavua bila ye kujua!! Stupid.
  4. zeddy peter

    JamiiForums Tanzania Komandoo wa JWTZ Kikosi cha Ngerengere mbaroni kwa mauaji

    Siyo komando tuu,hata wewe ukiwa provoked under that heat of passion ukauwa unakuwa ni defence..na inapelekea kupungua adhabu...
  5. zeddy peter

    JamiiForums Tanzania Lowassa ashauriwa asigombee urais

    Nonsense
  6. zeddy peter

    JamiiForums Tanzania Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

    Hujui kitu..so kumbe we ni mbumbumbu???hahaa...
  7. zeddy peter

    JamiiForums Tanzania Mzumbe University Selection 2014

    Sasa nani anajua ambition yako??? Just think and re think..then welcome mzumbe.
  8. zeddy peter

    JamiiForums Tanzania Nabii & Bilionea TB Joshua atoa mabilioni kwa wafiwa Afrika Kusini, pia kushtakiwa

    Kuna kitu occupiers liability..hii inamfanya mmiliki wa jengo Kama yeye kuwajibika kwa usalama wa watumiaji wa Mali hiyo.. Kisheria
  9. zeddy peter

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa akutana na Maaskofu wa Tabora na Kagera na kufanya nao mazungumzo ya Faragha

    Ivi mbona mzigo wote wa Richmond mnampa lowassa??? Someni vitabu vya uongozi(administration) Kuna theory inaitwa ministerial responsibility..ndo alichofanya lowassa..haina maana ye ndo fisad..tajeni wote.
  10. zeddy peter

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu kozi ya bachelor of science in health information systems

    Ni course nzuri haina competition...inatolewa mzumbe tuu...ila kuna economics..maths(cums) juma ni pure arts jiandae
  11. zeddy peter

    JamiiForums Tanzania Lowasa hawezi kusaka urais bila kumdhihaki rais Kikwete na familia yake?

    Anamwa Nini?? Nani kati yetu haumwagi??
  12. zeddy peter

    JamiiForums Tanzania Nina kiu lakini nina dozi ya diclopar, nilambe kilaji?

    Suala Kama Hilo ni la kutulia na kufanya rational desicion sio kuuliza huku
  13. zeddy peter

    JamiiForums Tanzania Maandamano Arusha 20/9/2014 Kutumika njia 6 tofauti

    Tunaomba viongozi wa juu wa maandamano wawepo..tena kwa miguu..sio kikinuka wanakula kona na migari Yao
  14. zeddy peter

    JamiiForums Tanzania Binti huyu ametupanga wanaume kumi na moja

    U better check afya yako...then kula kona..
  15. zeddy peter

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi Dodoma lazuia maandamano ya CHADEMA yaliyopangwa kufanyika leo Septemba 18

    Madhara ya maandamano ni makubwa...usiikilize hotuba zilizo andikwa na wataalam wa political science..ipime kwanza
Back
Top Bottom