Imani za kitoto bwana kama we we unaamini uchawi Ni weee, mm siamini na haunipati na haujawahi kunipata high blood pressure Ni ugonjwa unajulikana bado unaamini majini pole sana
MTU anapochuchumaa chooni kama ni mgonjwa Wa high blood pressure kuna mishipa ya maeneo ya tumbo anaiminya sana kiasi kwambq blood pressure inazid kupanda ,wataalam watakujuza vizur zaid,wagonjwa Wa high blood pressure wanashauriwa kutumia vyoo vya kukaa kwan anakuwa AME relaxe
Habari za kazi wana JamiiForums,
Naomba msaada wenu ni eneo gani ambapo wanauza vifaa vya kuvulia samaki kama fishing twine, fishing nets katika mji wa Guangzhou China, ningependa kujua exactly location, please kwa anaejua anisaidie.
Mm nimefuatilia mpaka document za usajili za hyo kampun, na wakasema kuna level kampun itakuwa inapata hela, hakuna mtu anakubali kutoa 10000 yake eti anakuchangia wewe ili utajirike, hyo ni deci
Hzo taarifa timezipata kabla yako hyo ni deci imekuja kivingine kuna hela kampuni inachukua ,fanyeni kazi mtafute PESA, pesa haipatikan kirahis eti watu wakuchangie nã wewe utajirike hakuna kitu kama hicho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.