Fursa Fursa - mtaji TSH 10,000

kabamanya

Senior Member
Jun 20, 2013
163
44
Je wewe ni mjasiriamali na hauna mtaji na unatafuta namna ya kutengeneza fedha? Je unao marafiki wako wa karibu manaochangiana vicoba na saccos? kama majibu ndio basi nakufahamisha jinsi ya kupata mitaji.

Unahitaji marafiki zako sita tu na shilingi elfu 10,000 YA KITANZANIA tu. basi utaanza kutengeneza mtaji mkubwa kwa baisahara zako. Unaweza kutengeneza mpaka mamilioni kwa kuanzia watu sita tu unaowajua wewe na usio wajua. unatakiwa kufanya nini Moja jisajiri Bure.

kupita link hapo chini Pili mchangia aliyekujurisha fursa hii shilingi TSH 10,000 tu, moja kwa moja katika account number au mobile account aliyokuwekea Tatu wajurishe marafiki zako sita (6) nao wakuchangie TSH 10000 tu kila mmoja. Nne hamasisha watu kuingia katika mtandao ili ufanye faida zaidi.

kwa ufafanuzi tuwasiliane 0762040330 ELNET Africa
 
Acha uzembe,
kwa sasa mvua zinanyesha, njoo Kolomije tulime viazi.
sio wote watakuwa wakulima, na tunakoelekea ni ulimwengu wa technolojia ni muhimu kutumia technolojia kujiongezea vipato.
changamka kijana wewe.
 
hapana sio desi, naomba nikueleze inavyofanyika, fedha yako inakuja kwako moja kwa moja haupandi mbegu wala kuvuna mbegu, unatuma pesa kwa mtu unayemjua na unapokea pesa kwa mtu unayemjua. hakuna kampuni la katikati
 
si dhani jukwaa la wajasiriamali kama linakufaa zaidi maana unaonekana huwezi kutake risk hata ya kuchonga penseli
linakufaa wewe sababu unanijua vilivyo basi endelea kujipa moyo kijana .. we endelea na network yako mkuu
 
nimefuatilia sana nikakuta watu hawana uelewe kwani mtu badala aulize inafanyaje kazi yeye anaishia kusema kuwa ni utapeli na ukimuuliza ni kwa namna gani atakujibu ni scheme alafu hilo ndiyo jibu lake la mwisho sasa kila mtu akiwa mkulima nani atamuuzia mazao mtu mwingine. huuu niwakati wa technology watu badala watumie mitandao kujipatia kipato wenyewe wanatumia kubishana ishu za maisha ya watu kwa mfano mtu kaa chini anaanza kuserch maisha ya dimond wakati hilo bundle analotumia likiisha anategemea kwenda kuomba kwa shemegi au mjomba alafu akija hapa anajikuta ni bonge la great thinker
NASHUKURU KWA MAONI YAKO, watu wetu technologia inawaacha
 
Fursa hii kwa watu ambao wako sharp na wanauelewa na wako tayari kutumia technologia kupata kipato watauliza jambo hili liko vipi? hasa watajitahidi kujua risk and benefit? Ukiona mtu anakwambia ni schema, ni desi ujue bad fikra za mwaka 47 bado anazo. Tujitahidi kutumia fursa zilizopo kwenye mtandao
 
hapana sio desi, naomba nikueleze inavyofanyika, fedha yako inakuja kwako moja kwa moja haupandi mbegu wala kuvuna mbegu, unatuma pesa kwa mtu unayemjua na unapokea pesa kwa mtu unayemjua. hakuna kampuni la katikati
Hzo taarifa timezipata kabla yako hyo ni deci imekuja kivingine kuna hela kampuni inachukua ,fanyeni kazi mtafute PESA, pesa haipatikan kirahis eti watu wakuchangie nã wewe utajirike hakuna kitu kama hicho
 
nimefuatilia sana nikakuta watu hawana uelewe kwani mtu badala aulize inafanyaje kazi yeye anaishia kusema kuwa ni utapeli na ukimuuliza ni kwa namna gani atakujibu ni scheme alafu hilo ndiyo jibu lake la mwisho sasa kila mtu akiwa mkulima nani atamuuzia mazao mtu mwingine. huuu niwakati wa technology watu badala watumie mitandao kujipatia kipato wenyewe wanatumia kubishana ishu za maisha ya watu kwa mfano mtu kaa chini anaanza kuserch maisha ya dimond wakati hilo bundle analotumia likiisha anategemea kwenda kuomba kwa shemegi au mjomba alafu akija hapa anajikuta ni bonge la great thinker
Mm nimefuatilia mpaka document za usajili za hyo kampun, na wakasema kuna level kampun itakuwa inapata hela, hakuna mtu anakubali kutoa 10000 yake eti anakuchangia wewe ili utajirike, hyo ni deci
 
Back
Top Bottom