Mahali atakapofanyia mwl.mwakasege mkutano

Chakorii

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
18,757
51,373
Habari ya muda huu GF.natumai mko salama nyote.straight to the point..

Mungu akinijaalia uzima kesho nitakwenda kwa mwl mwakasege kupata neno la Mungu.lakin shida iliyopo kwangu ni kwamba sijui nikipanda magari ya kawe nashukia kituo gani ili nipate kufika hiyo sehemu husika???msaada wenu tafadhali.

Natanguliza shukrani za dhati kwenu na Mungu azidi kuwabariki kila iitwapo leo.karibun tule neno la Mungu na kukua kiroho
 
usiwe na wasiwasi nadhani nusu ya hilo gari utalopanda wote watakuwa wanaenda kwenye mkutano,Si unajua Mwakasege tena,lkn nadhani kituo kinaitwa Tanganyika packers
 
usiwe na wasiwasi nadhani nusu ya hilo gari utalopanda wote watakuwa wanaenda kwenye mkutano,Si unajua Mwakasege tena,lkn nadhani kituo kinaitwa Tanganyika packers

Asante mkuu wangu.karibu sana na wewe upate neno ukue kiroho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom