MTU anapochuchumaa chooni kama ni mgonjwa Wa high blood pressure kuna mishipa ya maeneo ya tumbo anaiminya sana kiasi kwambq blood pressure inazid kupanda ,wataalam watakujuza vizur zaid,wagonjwa Wa high blood pressure wanashauriwa kutumia vyoo vya kukaa kwan anakuwa AME relaxeKumekuwa na matukio ya aina yake ya mtu kudondoka chooni asipoparalaize mwili mdomo lazma upinde upande na wengine hadi hufa au huwa kilema kabisa kama akipona hivi hua nini kinachosababisha matukio ya aina hii
Mmmh sio kweli iman za kitotoChooni kuna mambo mengi,ndo maana huwa inashauriwa usome dua kabla ya kuingia,hasahasa vyoo vya public ndo majanga zaidi hususani vya shule za msingi,kuna kudondoka kwa kuteleza hii ni kawaida na mara nyingi haina madhara ila kuna ile unaanguka bila sababu ya msingi,hapo ndo utaelewa kuwa uchawi UPO
Yakija kukuta ndo utaelewa kama ni imani ya kitoto ama laa,kwa sada endelea kuamini ivoivoMmmh sio kweli iman za kitoto
Sio kuanguka kwa ajili ya mapovu.ni ghafla tu.kizunguzungu Mara chali.ni mashetaniMbona Mimi nimedondoka chooni wakati dadeki na sabuni zaidi ya Mara moja na sijapata hayo madhara.
Hizo ni imani za hovyo hovyo tu.
Hakuna mashetani! nikwamba watu wengi hatujui kanuni za afya.Sio kuanguka kwa ajili ya mapovu.ni ghafla tu.kizunguzungu Mara chali.ni mashetani
Kwa hiyo hayo mashetani ndio yana kaa chooni?.Sio kuanguka kwa ajili ya mapovu.ni ghafla tu.kizunguzungu Mara chali.ni mashetani
Absolutely right.Huu ugonjwa ni stroke Kiswahili unaitwa kiharusi ni inatokea ubongo unapokosa hewa kwa sekunde chache. Hii inasababiswa na mirija ya damu kuziba au kupasuka na kufanya damu yenye oxygen ambayo imebeba virutubisho vinavyohitajika na ubongo kwa masaa 24 yasifike. Kiharusi kinatokana na magonywa ya moyo na kisukari yasiyosidhibitiwa, kutofanya mazoezi, kula vyakula vyenye wanga na mafuta kwa wingi, kuvuta sigara, n.k
HayajakukutaKwa hiyo hayo mashetani ndio yana kaa chooni?.
Ukianguka ghafla ujue kunashida kwenye system ya mwili sanasana presha ndio huwa inasababisha mwili kuishiwa nguvu na hatimaye kuanguka. Sio kusingizia shetani.
Shetani ndio nini?.
Umewahi kumuona au unamuota usikutu.
Nimecheka sana, kwamba pawepo na usahiliKuna watu mawazo yao hawastahili kuwa Jf;kuwe na usaili wa kujiunga,jitu lina mawazo ya karne ya 17 sasa hivi
acha bana mkuuKuna watu mawazo yao hawastahili kuwa Jf;kuwe na usaili wa kujiunga,jitu lina mawazo ya karne ya 17 sasa hivi