Natafutà Mwl wa kozi za Computer kwa morogoro

zed123

Member
Oct 16, 2016
88
66
Habar natafuta Mwalimu anayeweza kufundisha koz za Computer awe anaishi morogoro mjini Tuwasiliane kwa namba 0755783162 aue0718252251 ili tufanye kaz
 
Kwa level gani? Temporary or permanent?

Ni vizuri zaidi kama ukiongezea hizo taarifa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom