Recent content by zebradume

  1. Z

    Scorpion anayetoboa watu Macho Buguruni, akamatwa

    Kyalow umenena sawasawa! Huyu hafai kurudi ktk jamii yetu ni muangamizaji wa kizazi hiki. Tena mtu km huyu apewe maiti zilizo kufa kwa kushambuliwa na kuumizwa akae nazo kwa siku tano mpk zimuozee halafu unampa siku za kutafakari. Jitu zima linatumia miguvu yake kijinga kabisa huyu apewe kazi...
  2. Z

    Scorpion anayetoboa watu Macho Buguruni, akamatwa

    Wananchi tunahitaji majibu na sio habari ya kukamatwa...tunataka adhabu kali ichukuliwe dhidi ya baradhuli huyo na iwe fundisho kwa viscorpion vyote vinavyodhsan i hakuna vyombo vya dola. Kuwanyanyasa wananchi ni kuitukana serikali tunataka huyu muuaji na wengine wanaodhani wako juu ya sheria...
  3. Z

    Kulikoni king'amuzi cha DSTV Explorer?

    Toka jana jioni naona picha zinaganda kwa muda mrefu na king'amuzi kinashindwa kung'amua. Kulikoni huko DSTV jamani?
  4. Z

    Rais Dkt. Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Wizara ya Fedha

    Mh. Dkt J P Magufuli leo ametembelea wizara ya fedha na kukuta ofisi nyingi zikiwa tupu..hakika ni aibu kwa wafanyakazi watoro na waliounganisha mapumziko. Hobgera sn mh rais moto bi huohuo uendelee uende na ofisi nyingine. Hapa kazi tuu..watanyooka tu.
  5. Z

    Usichokijua kuhusu kukanyaga mdudu na kupotea njia

    Anaitwa kalunguyeye wale wenzangu wa bara wanamfahamu
  6. Z

    SWALI; LINI TAMISEMI MTATOA SELECTION YA KWENDA FORM5?wa

    Second selection imeshatoka toka 24-07-15 ingia mtandaoni www.pmoralg.go.tz utakuta majina ya waliobadilishiwa shule fanya haraka wana deadline!
  7. Z

    Cashiers wa Uchumi Supermarket mnatuibia 200 zetu daily

    Hasa Uchumi ya Segerea hawana hata aibu wizi tuu wamekalia kukata hela wateja. Mnajiaibisha ingawa sura zenu kavu km makopa ya mihogo..wezi wakubwa nyie!
  8. Z

    SWALI; LINI TAMISEMI MTATOA SELECTION YA KWENDA FORM5?wa

    Wadau..tusaidiane kwa hili kwa wale wenye wtt waliomaliza fm4 2014 ni lini watapatiwa majibu ya shule walizopangiwa? Tamisemi na wizara wapiga mpira tu..julai ndio inakaribia wtt wamesubiri sn tafadhali wajibikeni sio kuwaza kutiania na. Majimbo yenu
  9. Z

    Daktari: Mbasha hakubaka shemeji yake

    Dhamira mbaya ilimsuta!! Ubaya una mwisho. Km aliumizwa au kulikuwa na ushahidi ktk sehemu zake za siri kwnn alikimbia vipimo? Hakujua kufanya hivyo ni kujinyima haki?
  10. Z

    Daktari: Mbasha hakubaka shemeji yake

    Wadau mkisoma vyema yaliyoandikwa gazetini mtaoni jinsi huyo binti alivyojiharibia mwenyewe alipoambiwa aende maabara kupimwa akasepa akarudi baada ya zaidi ya wiki je hapo ni kosa la daktari au huyo victim? Source mwananchi la ijumaa uk wa 6.
  11. Z

    Mtangazaji Mtanzania wa BBC arudi kujiunga na Azam TV

    Kuna mtangazsji wa miaka mingi said mwinyi siku hz yuko wapi? Sikumsikia ktk wakuu wa wilaya wala tbc anafaa kuziba pengo la kutangaza mipira epl ila sijui km kwenye tv itamfaa. Achana na ma tbccmm mzee kaoshe macho kwa malikia
  12. Z

    Aibu; ITV/DSTV hobelajobela tu!

    Mkuu hujaelewa kinachoongelewa ni ratiba ya vipindi na muda mfano isidingo inaoneshwa itaonekana sio muda wake wa kila siku na taarifa ya habari inaonekana kuanza saa 21.10hrs!
  13. Z

    Aibu; ITV/DSTV hobelajobela tu!

    Kama hamuwezi kwenda na teknolojia mliingia kufanya nn kwenye digital setelite? vipindi vyenu na muda mnaoandika km metoka usingizini jirekebisheni uvurundo wenu ptuu mnatia aibu. AIBU YENU!!
  14. Z

    Mauaji ya kinyama yapelekea wananchi wenye hasira kuchoma nyumba na magari - Olasiti, Arusha

    Jamaa alishajua km mmasai anakula housegirl hatotamani yake tena!! Chezea masai ww...ina kitu kinasugua barabara
  15. Z

    Mgao wa umeme umekuwa Janga

    Ebooo...!! Toka asbh mmetukatia mkasemq saa kumi na mbili mnaturudishia tumechoshwa na ujinga wenu rudisha umeme mara moja! Km mnavyodai bili zenu. Timizeni ahadi zenu. Tunataka umeme tabata.
Back
Top Bottom